tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 784
- 269
Habari za siku nyingi my dears?
Ningependa tu kujua tu,hivi ni lazima kwa watu walio kwenye relationship(not married neither engaged) kuambizana leo nimepata salary?is it an obligation?if hujaambiwa unaeza kuua uhusiano?hili swali ni kutoka kwa mwanamke.