Kuajiriwa ama kujiajiri

Hello wakuu,,naomba mnichambulie kwa kina katika hili,,kati ya kujiajiri na kuajiriwa katika mazingira yetu ya kitanzania bora lipi?? Natanguliza shukurani zangu wakubwa.

MKUU KATIKA MAISHA YETU NI LAZIMA TUWE NA MISSION, NI LAZIMA UJUE UNAPOELEKEA NA UNAPOTAKA KUFIKA KTK MDA FLANI MAALUM. SWALI LAKO NI SAWA NA KUULIZA KUWA FREEDOM NA SECURITY KIPI BORA? TATIZO MOJA KUU AMBALO LINATUANGAMIZA LEO HII NI TABIA YA MFUMO WA ELIMU YETU NA FAMILIA ZETU KUNGANGANIA KUWA EDUCATION IS THE KEY TO LIFE - BILA YA KUFAFANUA KUWA ITS WHAT YOU DO WITH YOUR EDUCATION THAT COUNTS. LEO HII MOST OF US WE GO TO SCHOOL TO BE EMPLOYED HATUPANUI BRAIN ZETU KUANGALIA A GREAT WORLD OF POSSIBILITIES AND ABUNDANCY.
KAMA UNATAKA KU WORK HARD KUPANDA VYEO UTAFANIKIWA ILA
1. YOUR INCOME IS ALWAYS LIMITED (MPAKA BOSI APENDE)
2. YOU WILL NOT BE FREE - HAUTAKUWA NA MDA/PESA ZA KUTOSHA KUENJOY NA FAMILY YAKO
3. BY 80% YOU WILL BE BROKE WHEN YOU RETIRE
4. UTAJAWA NA FEAR YA KUFUKUZWA/ KUKOSA KAZI MAISHA YAKO YOTE
5. NOW DAYS HAKUNA JOB SECURITY

THE No 1 ASSET YOU BUILD/ BUY IS YOUR BUSINESS( BIASHARA AMBAYO HAILALI WEWE UKILALA/ HAIFI WEWE UKISAFIRI AU KUUMWA. BIASHARA YENYE SYSTEM IANAYOENDESHWA NA WATU WENGINE NA WEWE OWNER KAZI YAKO NI KU CONTROL HIYO SYSTEM. READ RICH DAD GUIDE TO INVESTING BY ROBERT KITOSAKI).

DUNIA HII YA LEO SUCCESSFUL PEOPLE WANA WORK AS A TEAM NOT INDIVIDUALY, HAWAAJIRIWI, WANACHOITAJI WAO IS JUST ONE SOUND IIL IDEA WATOKE.

KWA KUWA TUMESHANASA KTK MTEGO WA AJIRA KEEP YOUR JOB, LEARN TO BUILD BUSINESS AND MIND YOUR OWN BUSINESS. TODAY BEING AN EMPLOYEE IS SUICIDAL
 
Kweli umenena,I have Read Rich Daddy poor Daddy.
ila kuajiriwa Mr.Marandu iwe njia ya wewe kupata mtaji.kama tayari wewe unaomtaji wa unachotaka kufanya anza kukifanya.Pesa ya mshahara huwa haitoshi kabisa,ukipewe dola 1500 kwa mwezi matumizi yako yatafikia 1600 within 6months,na ukiongezewa to $2000 matumizi yatafikia $2300 kwa mwezi.
ChaMsingi ni kuunda biashara ili ikikomaa itakulipa mshahara wa dola 2300 na pia faida/dividend itabaki,utakuwa na job security,na utaweza kumrithisha ndugu/watoto biashara yako.

Kuna muheshimiwa amesema unaanzisha mradi halafu unawapa ndugu ili hali wewe unaendelea na kazi huku ukiusimamia,hiyo nilijaribu lakini niliishia kukosana na watu tu,unakuta mwisho wa siku hata hela ya mtaji inakufa asikudanganye mtu kila mradi unahitaji close supervision hasa ukiwa mdogo biashara ikikomaa unaajiri watu ambao watakuwa na ukomo wa maamuzikatika biashara yako wewe ndo utakuwa mwenye maamuzi ya mwisho,nimempenda jammaa hapo juu aliyesema now wana graduate 5 aliowaajiri npermenent na wawili part time hicho ndo tunachotakiwa kufanya watanzania usitegemee unamsomesha mdogo wako akaajiriwe na watu muajiri wewe hata akikuibia bado atawasaidia wa kwenu.Kuna rafiki yangu mmmoja alisoma Chemical and procesing alikuwa na kaka yake ambaye kifedha yuko vizuri ni mmoja wa wasambazaji wa vocha wakubwa hapa town akamuuliza mdogo wake unataka profesional job au kuwa na mafanikio kifedha jamaa akasema mafanikio kifedha akamuambia basi kaa hapa wewe ndo utakuwa manager kazi zote chini yako maana kaka mtu shule haikuwa kubwa,dogo kaendesha biashara sasa hivi anatisha hapa town hakuangalia professiona kaangalia namna ya kutoka angeangalia profesional angekuwa hata kiwanja hana.
 
Watanzania tujenge nia ya kujiajiri tunaweza,tatizo kubwa tukiwa chuo tunafikiria ukiajiriwa mambo yanakuwa mazuri ukifanya kazi mwaka mmoja unakopa gari basi,kumbuka kwamba ukikopa gari utaanza kulipa deni,deni likiisha na gari limechakaa unataka kukopa lingine mpaka lini utaishi kwa ku service loan???????lakini ukiamua kujiajiri na kuishi kama mchaga maana mchaga anakuja mjini hapangi chumba akipata kibanda cha biashara ndo chumba chake hicho hicho baada ya muda watu wanashangaa maendeleo ya haraka aliyofikia kumbe anaishi mjini kima hesabu.Sikuambii uishi kwenye kibanda huo ni mfano tu,mara nyingine raha jipe mwenyewe maana hatuishi duniani mara mbili siku ikipita imepita hairudi. Kuna kichwa mkuu uwe na uchungu wa kujiajiri ili uajiri wengine
 
Wakuu maisha yana fomula nyingi katika mawazo niliyoyapitia nimelipenda wazo la kuanza kufanya biashara pembeni huku ukiwa kazini. Wakati mwingine transition haipaswi kuwa rough ukiona mambo yamezidi upande wa biashara yako hapo unaacha. Napenda kutoa ushauri kuwa Tusikate tamaa kukata tamaa ni dhambi. Watanzania tumekuwa na tabia ya kulalamika na kulaumu wengine tunachotakiwa kukifanya ni kuwajibika na mambo yetu.
 
mkuu kwa harakaharaka nimejua kwa nini umejiita jina la street smart,,unajua tunavyokuwa tunasoma kule shule tunakuwa zaidi madesa oriented,,lakini ukija huku mtaani ndio kwenye ukweli haswa,,aisee nashukuru kwa ufafanuzi huu mzuri,,unaozidi kuonesha kujiajiri ni bora zaidi.

bahati nzuri sana hich kitabu cha rich dads ninacho,,ila nilikuwa sijakisoma,,sasa ninazidi kuona umuhimu wa kukisoma,,maana vile ulivyoflow hapo juu mkubwa,,inaonesha umekuwa transformed kiakili kwa kiwango cha juu sana,,mkuu unaflow kama sio mtanzania,,sasa nazidi kuamini kwamba entrepreneurs can be made na sio can only be born..

mkuu nakukuhakishia kufuata nyayo zako kwa kukisoma hiki kitabu na kuyafanyia kazi mawazo ya hawa wakubwa wengine ili nipate ile kitu roho inapenda kama freedom,unlimited income na mengineyo.

ushauri wangu kwa wote wanafuatilia mada hizi hasa mada hii,,watumie fursa hii kujifunza na kupata kitu kitacho fanya mapinduzi katika maisha yao,,maana elimu mimi ninayoipata hapa ni zaidi ya hata ile ya chuo kikuu.

asante sana mkuu.
 
Kweli umenena,I have Read Rich Daddy poor Daddy.
ila kuajiriwa Mr.Marandu iwe njia ya wewe kupata mtaji.kama tayari wewe unaomtaji wa unachotaka kufanya anza kukifanya.Pesa ya mshahara huwa haitoshi kabisa,ukipewe dola 1500 kwa mwezi matumizi yako yatafikia 1600 within 6months,na ukiongezewa to $2000 matumizi yatafikia $2300 kwa mwezi.
ChaMsingi ni kuunda biashara ili ikikomaa itakulipa mshahara wa dola 2300 na pia faida/dividend itabaki,utakuwa na job security,na utaweza kumrithisha ndugu/watoto biashara yako.
asante mkuu new mzalendo kwa mchango wako mzuri,,nimependa ulivyotumia maelezo ya tarakimu,,ili kuonesha faida ya kujiajiri dhidi ya kuajiriwa.
 
Watanzania tujenge nia ya kujiajiri tunaweza,tatizo kubwa tukiwa chuo tunafikiria ukiajiriwa mambo yanakuwa mazuri ukifanya kazi mwaka mmoja unakopa gari basi,kumbuka kwamba ukikopa gari utaanza kulipa deni,deni likiisha na gari limechakaa unataka kukopa lingine mpaka lini utaishi kwa ku service loan???????lakini ukiamua kujiajiri na kuishi kama mchaga maana mchaga anakuja mjini hapangi chumba akipata kibanda cha biashara ndo chumba chake hicho hicho baada ya muda watu wanashangaa maendeleo ya haraka aliyofikia kumbe anaishi mjini kima hesabu.Sikuambii uishi kwenye kibanda huo ni mfano tu,mara nyingine raha jipe mwenyewe maana hatuishi duniani mara mbili siku ikipita imepita hairudi. Kuna kichwa mkuu uwe na uchungu wa kujiajiri ili uajiri wengine
nashukuru sana manyusi kwa kuweka wazi suala la kuvaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu,,unakuta mtu ana gari nzuri lakini mungu wangu kumbe ni ya mkopo,pesa ya mshahara inaishia kulipa madeni,,watu wanakufikiria unafaidi sana maisha,,kumbe mabenki ndiyo yanayokufaidi,,wewe unazidi kusota na kapesa kadogo kanako bakia.

nashukuru sana kwa ufafanuzi huu mzuri mkuu manyusi.
 
Mie napenda sana early retirement na kutravel the world hivo bana ikipatikana nafasi ya kujiajiri na kufanya mambo yangu, siezi fanya ajizi.
 
Watanzania tujenge nia ya kujiajiri tunaweza,tatizo kubwa tukiwa chuo tunafikiria ukiajiriwa mambo yanakuwa mazuri ukifanya kazi mwaka mmoja unakopa gari basi,kumbuka kwamba ukikopa gari utaanza kulipa deni,deni likiisha na gari limechakaa unataka kukopa lingine mpaka lini utaishi kwa ku service loan???????lakini ukiamua kujiajiri na kuishi kama mchaga maana mchaga anakuja mjini hapangi chumba akipata kibanda cha biashara ndo chumba chake hicho hicho baada ya muda watu wanashangaa maendeleo ya haraka aliyofikia kumbe anaishi mjini kima hesabu.Sikuambii uishi kwenye kibanda huo ni mfano tu,mara nyingine raha jipe mwenyewe maana hatuishi duniani mara mbili siku ikipita imepita hairudi. Kuna kichwa mkuu uwe na uchungu wa kujiajiri ili uajiri wengine
yes washahili wanasema PENYE NIA PANA NJIA, wazungu wanasema "THE WORD IMPOSSIBLE says itself I M POSSIBLE"
msemo huu wa kimombo unasisitiza kisichowezekana kinawezekana,siku zote vitu vikiwa ni biashara au kitu chochote vinatusikiliza sisi,,sisi binadamu ndio wafalme wenyewe hapa,,kwa hiyo tukisema haiwezekani,,vyenyewe havitafanya lolote,,,sio zamani ila hata sasa mtu akiipinga amri ya mfalme au raisi,je anaachwa??,,kwa hiyo amri ikishatolewa hakuna ujanja zaidi ya kuitii,,,ndivyo ilivyo kwetu sisi binadamu na vitu vyote vinavyotuzunguka,,,ikiwa tutasema haiwezekani,vitatutii,,,lakini vitawezekana tu pale tutakaposema INAWEZEKANA na kuvaa magandwa ya kazi na kuingia kazini..

tuwe watu wenye kusema INAWEZEKANA na iwe mwiko kwetu kusema HAIWEZEKANI,,ni dhambi,,asante sana mkuu kwa kuziweka wazi siri za binadamu,,hiyo ndiyo kanuni,,kama ilivyo kwenye hesabu usivyo tumia kanuni sahihi unakosa..basi kanuni hapa ni kusema INAWEZEKANA,,nakuingia mzigoni au mapambanoni,,anyway ukisema HAIWEZEKANI,,moyo wako unakosa nguvu,,ndio kile mkubwa anasema KUKATAA TAMAA,,.ukienda kwa staili ya kusema HAIWEZEKANI,usije kutulalamikia..tutakwambia umekosea kanuni,kaanze upya kufanya SWALI kwa kanuni sahihi ambayo ni INAWEZEKANA.

wazungu wanasema "A POSITIVE THINKER SEES OPPORTUNITIES IN EVERY DIFFICULTY BUT A NEGATIVE THINKER SEES DIFFICULTIES IN EVERY OPPORTUNITY" ikimaanisha mwenye mtazamo chanya huziona fursa katika kila tatizo lakini yule mwenye mtazamo hasi huona matatizo katika kila fursa"

asante sana mkuu manyusi kwa ufunuo huu wa ajabu..
 
Wakuu maisha yana fomula nyingi katika mawazo niliyoyapitia nimelipenda wazo la kuanza kufanya biashara pembeni huku ukiwa kazini. Wakati mwingine transition haipaswi kuwa rough ukiona mambo yamezidi upande wa biashara yako hapo unaacha. Napenda kutoa ushauri kuwa Tusikate tamaa kukata tamaa ni dhambi. Watanzania tumekuwa na tabia ya kulalamika na kulaumu wengine tunachotakiwa kukifanya ni kuwajibika na mambo yetu.
ni kweli mkuu babalao,mojawapo ya sifa ya mabadiliko mazuri ni yale yanayoenda hatua kwa hatua na siyo yale ya ghafla,,chukulia mfano ukuaji wa binadamu,,jinsi inavyokua kwa hatua,,kuna msemo wa kimombo usema "anything right is worthy of time" kwamba kila kitu kizuri kinahitaji muda ilikifanyike,,misemo mingine ni ile ya "haraka haraka haina baraka" na "subira yavuta heri"

asante sana kwa kuchangia mada vizuri namna hiyo mkuu babalao.
 
Mie napenda sana early retirement na kutravel the world hivo bana ikipatikana nafasi ya kujiajiri na kufanya mambo yangu, siezi fanya ajizi.

mkuu thats what life is all about; HAPPINESS, ABUNDANCY, SERVING OTHERS, FREEDOM, LIFE STYLE OF YOUR DREAM........

TRAVELLING THE WORLD IMETULIA SANA.
 
Kujiajiri, ukiweza, ni jambo bora si kwako tu, bali kwa uchumi wa taifa pia. Ukijiajiri haiyumkini utapanuka hata kama ni polepole, na utaajiri wengine. Ndio maana mitaala ya vyuo siku hizi ina somo la ujasiriamali.

Kama walivyosema wengine, kutegemea kipato halali cha kuajiriwa kwa kawaida hakuwezi kukuletea utajiri. Lakini ukijiajiri - possibilities zinakuja.
 
naomba niwe tofauti na wengi katika hili..UJASIRIAMALI SIO SOMO LA KUFUNDISHWA KAMA KIINGEREZA AU HESABU...ITS AN ART..gifted from the one HIGH ABOVE....watu wanazaliwa wajasiriamali na HAWAINGIZWI DARASANI kuwa wajasiriamali...ndio maana kunatofauti kubwa kati ya MFANYABIASHARA NA MJASIRIAMALI....wafanyabiashara wanafundishwa lakini wajasiriamali wanazaliwa na pia ni "kipaji kinachorithiwa"
 
Kuna muheshimiwa amesema unaanzisha mradi halafu unawapa ndugu ili hali wewe unaendelea na kazi huku ukiusimamia,hiyo nilijaribu lakini niliishia kukosana na watu tu,unakuta mwisho wa siku hata hela ya mtaji inakufa asikudanganye mtu kila mradi unahitaji close supervision hasa ukiwa mdogo biashara ikikomaa unaajiri watu ambao watakuwa na ukomo wa maamuzikatika biashara yako wewe ndo utakuwa mwenye maamuzi ya mwisho,nimempenda jammaa hapo juu aliyesema now wana graduate 5 aliowaajiri npermenent na wawili part time hicho ndo tunachotakiwa kufanya watanzania usitegemee unamsomesha mdogo wako akaajiriwe na watu muajiri wewe hata akikuibia bado atawasaidia wa kwenu.Kuna rafiki yangu mmmoja alisoma Chemical and procesing alikuwa na kaka yake ambaye kifedha yuko vizuri ni mmoja wa wasambazaji wa vocha wakubwa hapa town akamuuliza mdogo wake unataka profesional job au kuwa na mafanikio kifedha jamaa akasema mafanikio kifedha akamuambia basi kaa hapa wewe ndo utakuwa manager kazi zote chini yako maana kaka mtu shule haikuwa kubwa,dogo kaendesha biashara sasa hivi anatisha hapa town hakuangalia professiona kaangalia namna ya kutoka angeangalia profesional angekuwa hata kiwanja hana.

Ninachoshauri mtu asitoke chuo leo na kutaka kufungua biashara yako kwani utakuwa huna mtaji wa fikra na kifedha. Mfano kama wewe umehitimu sheria, kubali utumike miaka mitano kwa Law Firm baada ya hapo na wewe ufungue yaki, hapo hutababaika kwa lolote kwani utakuwa unaifahamu shughuli yako ipasavyo
 
naomba niwe tofauti na wengi katika hili..UJASIRIAMALI SIO SOMO LA KUFUNDISHWA KAMA KIINGEREZA AU HESABU...ITS AN ART..gifted from the one HIGH ABOVE....watu wanazaliwa wajasiriamali na HAWAINGIZWI DARASANI kuwa wajasiriamali...ndio maana kunatofauti kubwa kati ya MFANYABIASHARA NA MJASIRIAMALI....wafanyabiashara wanafundishwa lakini wajasiriamali wanazaliwa na pia ni "kipaji kinachorithiwa"

Nimeipenda topic hii sana. Nimekuwa katika kutafuta strategy ya kupunguza absolute na relative poverty kwa muda sasa. Nikiwa kama mwajiriwa ninaona ku breakthrough kwenye hii viscious circle ya poverty ni ngumu sana kama individual lakini rahisi kama group ambalo liko diversed lakini lenye vision moja kila moja liki link kwa lingine.

Nimekuwa pia katika kuendesha miradi midogo midogo ya aina aina hasa kwenye transportation sector na tourism. ugumu mkubwa kwenye biashara zetu ni kuwa ili ku kufanikiwa katika biashara lazima uwe connected na government na hivyo miradi mingi siyo self sustaining inapata input from government either through salaries kwa waajiriwa au through information access from and or purchases of government goods and services. Ndiyo maana hata wafanyabiashara wengi wanalilia kuingia katika government system under different capacities...Urasimu ni mwingi.

So nimejifunza na bado naendelea kujifunza lakini kwambali nimegundua kwamba kama tukifanya kazi either biashara au ajira kwa kuzingatia comperative advantage kubreak through nirahisi sana through corporate. Kikwazo kikubwa ni social capital; yaani trust networking, belief etc hivi vinaweza vikajengwa lakini vinatakiwa vikasaidiwa na policies na hapa ndipo umuhimu wa politics unapoingia. Nikafikiria kujiingiza kwenye politics lakini naona mamabo yanayofanyika ni against my moral conscious; Lakini kunanjia nyingine ninayoifikiria na ndiyo maana nikasema naipenda hii topic.

Kujiajiri au kuajiriwa kote kunaweza kuleta welfare either at individual level au kwa society. Mawazo ya wengi ni mimi kwanza wengine baadae...Lakini anasahau bila kuinstituionalise welfare projects basi relative poverty ni constrain kubwa katika break through na inaongeza transaction cost vibaya mno; kumbe unaweza kabisa ukaongeza welfare yako haraka zaidi utakapo invest katika projects zitakazo increase welfare ya wengine na wewe ukawa better off na kila mara wao wanapo increase income wewe yako inapanda zaidi ya kwao exponentially na siyo geometrically.

Kuna moja kasema miradi ambayo itaingiza hela wakati wote bila kujali uwepo wako na hali yako ya kiafya yaani either case wewe bado unakua juu. Mfano ni Billy Gates ile idea yake ni partented na amekuwa akiingiza products sokoni kila baada ya partent moja kuexpire lakini fikiria amesaidia welfare ya watu wangapi katika dunia hii kwa technology yake ya microsoft. So utagundua unique Ideas ndo zinazoleta welfare kwa haraka na kwa wengi zaidi and in a diversed manner lakini zikisaidiwa na policies. Bila sheria ya partent right Bill pengine asingekuwa vile alivyo leo na pengine asingekuwa motivated kuinvest muda na brain resource yake katika hiyo investment.

So unaweza kuwa na ideas nyingi tu za kugenerate income lakini bila political influence nguvu yako inaweza potea pasipo kurealise objective zako na pia kuleta effects at the expected rate and extent. Hapo ndipo wengi tunapokwama inapokuja ishu za kujiajiri hapa Tanzania na wengi tukaingia kwenye mtego wa kutaka kuwa na external force ku sustain bussiness zetu na kwakua tulikua wajamaa basi Serikali ndiyo muhimili mkuu wa mtu ku break-through.
 
naomba niwe tofauti na wengi katika hili..UJASIRIAMALI SIO SOMO LA KUFUNDISHWA KAMA KIINGEREZA AU HESABU...ITS AN ART..gifted from the one HIGH ABOVE....watu wanazaliwa wajasiriamali na HAWAINGIZWI DARASANI kuwa wajasiriamali...ndio maana kunatofauti kubwa kati ya MFANYABIASHARA NA MJASIRIAMALI....wafanyabiashara wanafundishwa lakini wajasiriamali wanazaliwa na pia ni "kipaji kinachorithiwa"
Kuzaliwa na kipaji cha ujasiriamali, au vipaji vingine kama uongozi, uimbaji nk ni jambo ambalo lipo. Kama umezaliwa na silika fulani, kwa vyoyote elimu ya darasani/chuoni itakunoa zaidi. Elimu si ya kuipuuza kwa vile eti umezaliwa na kipaji. Utabaki na mawazo mgando ya utendaji.
 
ushauri kahuu ndounatakiwa hatamimi na tatizo kama la huyu jamaa nakipato kizuri lakini najaribu kufanya biashara nikiwa huku nipokazini na mkewangu kuendesha lakini hatuendelei inafikia wakati inabidi nilipe pango na sijui nafkiri kuacha kazi nirudi home ilinisimamie mwenyewe lakini nakosa umuzi
 
kuna fursa nyingi sana katika kujiajiri. ni wewe tu kuwa na moyo wa kijasiriamali na kujua wapi utapata mitaji ya kujiendesha, na mikakati ya kuendeleza biashara yako
 
Back
Top Bottom