Hawako huru Hawa!Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi.
Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila kushurutishwa na mtu yeyote inapanga tarehe ya hukumu baada ya kumalizika kwa usikilizaji wa kesi husika, lakini siku ya hukumu inapowadia Mahakama hiyo hiyo inaleta uzushi wa kuahirisha hukumu husika BILA SABABU ZOZOTE ZENYE MASHIIKO!
Kesi ya Sabaya na leo kesi ya Musiba ni mifano ya karibu mno ya jambo hili , nina mashaka hata ile hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomhusu Mbowe na wenzake iliyopangwa kutolewa uamuzi tarehe 19 october hii nayo itaahirishwa.
Haya yote ya kupotezeana muda yanafanyika kwa faida ya nani?
KUNA MAMBO YA MSINGI YA KUFANYA SIYO HIZO KESI ZENU MNAZOSHABIKIA
Peleka upumbavu wako lumumba siyo humu.
Yaani washitakiwe na akina Membe halafu lawama tupewe sisi !Sabaya na Musiba mliwachongea ninyi wenyewe sasa hiyo kesi uamuzi wake unawahusu nini?
Ikifika hukumu ya Mbowe na yenyewe ulalamike hivi
Eti kesi zinazogusa masikio ya wengi, hovyoo; Sema masikio yangu, hapo nitakuelewa.
Jikite kwenye mada
kesi ndogo ya gaidi nayo itaahirishwa mpaka ipangiwe jaji mwingine kupwa mpole mmeo atatoka tu
Inama nikuzibue.Wanaume wanapojadil kaa kmya we nguchro
iko siku hayo matusi yatakutokea puaniInama nikuzibue.
Matusi gani?iko siku hayo matusi yatakutokea puani
Sabaya alishitakiwa na Membe?Yaani washitakiwe na akina Membe halafu lawama tupewe sisi !
Kama Sabaya hakupora hela za wafanyabiashara unadhani pongezi alizopata zilitokana na nini ? Halafu video zote za uvamizi na zingine zilizorekodiwa kwenye CCTV camera za mahoteli kadhaa Sabaya mwenyewe mbona hajawahi kuzikana , zaidi amedai alitumwa na Magufuli kufanya aliyoyafanya .Sabaya alishitakiwa na Membe?
Sabaya mlimwandama sana kwa kurusha video za uongo na kuandika barua nyingi za malalamiko ya wafanyabiashara wa hai kuporwa mali wakati mkijua sio kweli na aliyewasikiliza akaegemea kwenye 'emotional leadership' ambayo haitakiwi kuifanyia kazi kabla hujafikiri madhara baada ya uamuzi huo.
Kesi ya Sabaya alitakiwa aunganishwe waziri wa fedha na mipango pamoja na gavana wa benki kuu kwa kuwa walishawahi kumpongeza kwa kazi aliyotumwa kuifanikisha lakini leo eti anabandikwa kesi ya unyang'anyi na kutumia silaha pamoja na matumizi mabaya ya madaraka wakati waliopo madarakani sasa hivi walikuwepo na hawakujiuzulu kulinda heshima na maadili kwa kuona mabaya aliyokuwa anayafanya.
Mashitaka yote ya Mbowe, Sabaya, Musiba na wengineo matokeo yake yatawarudi waliozianzisha hizo kesi za visasi 'Karma is always a rolling ball, bouncing when it hits a rigid surface back to the exertion force'
Hujui kituKwaiyo kama zinafatiliwa na wengi ndo mnataka mambo yaende mnavyotaka nyinyi sio?
Uwiano upoje kati ya izo kesi unazosema na zile ambazo hazifatiliwi na watu zipi zinaongoza kuahirishwa?
Je majaji wamevunja sheria?
Hii kwa lugha nzuri naweza kuiita mihemko
Ni kama ambavyo DPP anatumia nafasi yake kuunda kesi bandia ili kutesa baadhi ya watu kwa manufaa ya kisiasa ndivyo hivyohivyo "baadhi ya mahakama zinatumika kuwa sehemu ya utesaji baadhi ya watuhumiwa ili kukidhi baadhi ya matakwa ya baadhi ya wenye mamlaka!"Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi.
Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila kushurutishwa na mtu yeyote inapanga tarehe ya hukumu baada ya kumalizika kwa usikilizaji wa kesi husika, lakini siku ya hukumu inapowadia Mahakama hiyo hiyo inaleta uzushi wa kuahirisha hukumu husika BILA SABABU ZOZOTE ZENYE MASHIIKO!
Kesi ya Sabaya na leo kesi ya Musiba ni mifano ya karibu mno ya jambo hili , nina mashaka hata ile hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomhusu Mbowe na wenzake iliyopangwa kutolewa uamuzi tarehe 19 october hii nayo itaahirishwa.
Haya yote ya kupotezeana muda yanafanyika kwa faida ya nani?