Kuaga Mwaka 2009

JS

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
2,064
497
WanaJF mwaka mpya ndo huo unakuja wiki mbili zijazo twaingia 2010
Kuna mpango wowote wa kuaga mwaka kwa wanaJF au ndo kila mtu atajifungia kwake??
Nakaribisha maoni
 
kwani unataka kufa?

we ukishapata kalenda mpya(ya mwanaka 2010) basi ndio mwaka mpya huo!!!!!!!!!!!

kama ni maisha ndio yale yale, hata kama yamebadilika hayakubadilishwa na wala hayatabadilishwa na kalenda mpya, up mpaka hapo??????????
 
Nipo mpaka Hapo Mgombea Ubunge ila nadhani hujanielewa
nimemaanisha get tugetha ya JF members kwa wale walioko nyumbani TZ ya kuaga mwaka. nadhani nimechemsha kuweka kwenye thread hii au nimepatia au ningeweka kwenye entertainment ila yote kheri.
Asante kwa maoni
 
JS, get together wakati wengine tumejificha nyuma ya keyboards kwa majina haya?

Binafsi nakutakiwa wewe na washikaji wengine wote heri ya mwaka mpya!:rolleyes:
 
Wapwa wamepanga kuuaga kiaiana aina sijui safari hii Zenji kwa Masa!
 
Tupange eneo la kukutana tuliopo hapa dar es salaam.
Na waliopo sehemu nyingine wajiorganise.
Kwa tulio dar es salaam tupange venue...
Na kwa kuwa hatutambuani siku hiyo ya kukutana wote tuvae nguo nyeupe, ili iwe rahisi hata kuulizana kama wewe ni mwana jamvi
 
Tatizo mkialikwa mnakula kona juzi hapa imetangazwa wee watu mkala kona

Ila sisi kama kawa. Lazima tuuage mwaka kama kawa. Wakila kona wapwa tunajichanganya kama kawaida yetu. Mi naona tukauagie mwaka Bagamoyo!
 
Tupange eneo la kukutana tuliopo hapa dar es salaam.
Na waliopo sehemu nyingine wajiorganise.
Kwa tulio dar es salaam tupange venue...
Na kwa kuwa hatutambuani siku hiyo ya kukutana wote tuvae nguo nyeupe, ili iwe rahisi hata kuulizana kama wewe ni mwana jamvi

Wapwa 20 tunafahamiana sana. Kwa sura, majina na sehemu tunazoishi na kufanya vibarua vyetu. Tunakula vilaji na manywaji mara kwa mara. Wanaotaka kuingia kundini wanakaribishwa mno!
 
Ila sisi kama kawa. Lazima tuuage mwaka kama kawa. Wakila kona wapwa tunajichanganya kama kawaida yetu. Mi naona tukauagie mwaka Bagamoyo!

Karibu sana huku Bwagamoyo, wengine mtatukuta hukuhuku, lakini mbona haijawekwa wazi, tunakutana barabarani, beach au Hotelini? Kwa vyovyote vile kuna cost element. Je nani afanye booking na atarejeshewa na nani?
 
Ngoja mtoa wazo ataje sehemu. Haya tuambie mama, wapi?

NANIHII kule kunaitwaje tena kule nimesahau jina lake

kwenye hii njia ya whitesands kuna hotel nilienda muda kidogo ilikuwa nzuri na affordable msosi na drinks jina limenitoka lakini si girrafe
 
NANIHII kule kunaitwaje tena kule nimesahau jina lake

kwenye hii njia ya whitesands kuna hotel nilienda muda kidogo ilikuwa nzuri na affordable msosi na drinks jina limenitoka lakini si girrafe

Angalizo: Bia shilingi ngapi? Valuu zipo?
 
Back
Top Bottom