Bia ilikuwa 3000 kabla ya mtikisiko wa uchumi.
Valuu sina uhakika ila naeza kukuletea spesho delivari wewe tu
NiPM nikuelekeze, pleasehiyo zero pub iko wapi labda inaeza kuwa a better option
hiyo zero pub iko wapi labda inaeza kuwa a better option
subira yangu ndio iloniponza.............Utapajua tu, vuta subira.
subira yangu ndio iloniponza.............
Waambie imekula kwao chaliii yangu, senks tutaendelea kula tuHahaha! Nilitaka nikutwange senksi lakini kuna watu wanasema wapwa tunajisevia senksi ovyoovyo! Wasije wakaniban!