Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

Joined
Sep 25, 2023
Posts
31
Reaction score
50
Habari wakuu!

Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini?

Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto kama sisi?

Bei kwa Kreti endapo ukizibahatisha:
  • Bingwa: 27,000 hadi 29,000
  • Safari na Kilimanjaro: 37,000 hadi 38,500
Sasa hizo bei siyo tatizo sana, shida kubwa ni mzigo kupatikana.
 
Habar wakuu! Nikaribu mwezi wapili sasa mfululizo upatikanaji wabia mkoa wambeya umekuwa changamoto sana ,bia kama BINGWA,SAFARI na KILIMANJARO zinapatikana kwamanati sana..wenzetu wa TBL Mbeya mtujulishe shida ni nini..?
JE wenzetu huko mikoa mingine mnakumbana na changamoto kama sisi.?
Bei kwa cret ilivyo ukizibahatisha
Bingwa 27,000 hadi 29000
Safari na kilimanjaro 37000 hadi 38500 kwa kret ..sasa hizo bei wala hatuna shida nazo shida mzigo upatikane sasa
Wewe shopping yako ni kwa kreti tuu! Kongole.
 
😃 😀 😄 😁 katika wateja ambao hawana mambo mengi walevi mnaongoza. Huwa mlevi akija dukani kwangu hata punguzo mara nyingi haombi. Mbarikiwe sana walevi
 
Habari wakuu!

Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini?

Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto kama sisi?

Bei kwa Kreti endapo ukizibahatisha:
  • Bingwa: 27,000 hadi 29,000
  • Safari na Kilimanjaro: 37,000 hadi 38,500
Sasa hizo bei siyo tatizo sana, shida kubwa ni mzigo kupatikana.
Si agizeni Carsberg kutoka Malawi jamani!
 
Inawezekana siasa kali CCM wamefikia kuzuia bia kama walivyofanya kwa gwajima kuzuia waumini kuswali.
 
Rango anaahidi nini kuhusu Hilo haoni kama atakosa kura za walevi Hali ikiendelea hivyo?
 
Kwa nature ya huo mkoa wng pendwa najua wanaombea bingwa ipatikane haraka kuliko hzo zingine. Ni bia yao pendwa na inazalishwa plant ya mbeya tu
 
Habari wakuu!

Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini?

Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto kama sisi?

Bei kwa Kreti endapo ukizibahatisha:
  • Bingwa: 27,000 hadi 29,000
  • Safari na Kilimanjaro: 37,000 hadi 38,500
Sasa hizo bei siyo tatizo sana, shida kubwa ni mzigo kupatikana.
Dah! Sasa mnaishije? Maisha si magumu sana huko?
 
Back
Top Bottom