Kuachwa...

sio wote waliachwa kwa kuwa na makosa Mnyalu wangu weee!!!

hapo sasa...mie jamaa yangu alizaa na mwanamke mwingine b4,mama yake had insured interest na familia y amwanamke aliyezaa na mwanaye, ikabidi amlazimishe kuoa huko (simtoi hatiani jamaa though) so some of us didnt do nothing wrong kabiaa ndo maana tulitaka kupoteza maisha!!!

heee pole deaarest, mie niliachwa solemba kabisa, tupo dinner kwa raha zetu, story kama kawaida, amani tele...kesho yake namcal jamaa, jamaa hapokei, sms hazijibiwii, cal cal na wee naona akaona nazidisha usumbufu akanitoea kubwa" mie naona tuishie hapa tu nyamayao, kila mtu afanye maisha yake"...bila kuambiwa sababu na cjui sababu mpaka kesho, ameckia nyamayao anaolewa anacal anajidai shetani alimpitia nimsamehe ye ndio anastahili kuwa mume wangu.....khaaa, alikuja kunitia machoni nasukuma tumbo mbele.......
 
Dah! Mi nashukuru sijawahi kuachwa... Though najiandaa kuacha mtu...
It's so sad!!!
Hii thread inaanza kunifanya nijifikirie mara mbili...

nimekusoma sana kule ndo mana sijataka kuchangia, lakini na wewe si umesema nyie ni marafiki tu??
 
heee pole deaarest, mie niliachwa solemba kabisa, tupo dinner kwa raha zetu, story kama kawaida, amani tele...kesho yake namcal jamaa, jamaa hapokei, sms hazijibiwii, cal cal na wee naona akaona nazidisha usumbufu akanitoea kubwa" mie naona tuishie hapa tu nyamayao, kila mtu afanye maisha yake"...bila kuambiwa sababu na cjui sababu mpaka kesho, ameckia nyamayao anaolewa anacal anajidai shetani alimpitia nimsamehe ye ndio anastahili kuwa mume wangu.....khaaa, alikuja kunitia machoni nasukuma tumbo mbele.......

oh yeah?? shetani eeh??? naona alivokuona na tumbo alijibeba!!!

eeh asante mwaya, ila kiukweli ilinisimbua sana afu he was my first true love basi naule utoto ndo usipime!!! dadaangu alikuwa haniachi nyuma anaogopa siku inaweza isiishe akasikia nimebadilishwa jina!!! Ile exprerience ilikuwa mbaya sana na moyo wangu ulikufa ganzi kabisa...........
 
unadhani ishu ni ukali bac chriss, ukichokwa umechokwa tu hamna namna, ya kwangu bwana iliniuma sana aisee, yaani yule jamaa muache tu.
Dah! pole sana. Nikisoma katikati ya mistari hapo naona jamaa lilikuwa na maujuzi ya kukufikisha ikulu kuliko shemeji yangu. Cha muhimu mfundishe bwashee kukatika mauno kama Kandabongoman, then utamsahau huyo jamaa aliyekuacha solemba?

BTW, wewe hujawahi kuacha njemba hata moja?
 
oh yeah?? shetani eeh??? naona alivokuona na tumbo alijibeba!!!

eeh asante mwaya, ila kiukweli ilinisimbua sana afu he was my first true love basi naule utoto ndo usipime!!! dadaangu alikuwa haniachi nyuma anaogopa siku inaweza isiishe akasikia nimebadilishwa jina!!! Ile exprerience ilikuwa mbaya sana na moyo wangu ulikufa ganzi kabisa...........

haaa tumekutana restaurant, najiburuza na tumbo langu mr pembeni, kusalimia alishindwa,alibaki kaduwaa tu, nikaja kukutana nae supermarket nimeshajifungua, hapo ndipo ninapowachoka wanaume, ananitongoza kwa mara nyingine, kidogo nimpigie mayoweee.
 
nimekusoma sana kule ndo mana sijataka kuchangia, lakini na wewe si umesema nyie ni marafiki tu??

Mamushka ungependeza sana kama ungesomea sheria. Sijui nani alikudanganya usome haya ma-uhandisi.
 
Dah! pole sana. Nikisoma katikati ya mistari hapo naona jamaa lilikuwa na maujuzi ya kukufikisha ikulu kuliko shemeji yangu. Cha muhimu mfundishe bwashee kukatika mauno kama Kandabongoman, then utamsahau huyo jamaa aliyekuacha solemba?

BTW, wewe hujawahi kuacha njemba hata moja?

wewe nani kakuambia hayo, nilickitika ctuation aliyoniacha nayo na sio ndombolo wala mayenu cjui,kumsahau nilishamsahau kitambo, ni yeye tu anaweweseka, mie cjawahi kuacha mtu aisee, cjapataga bahati hiyo...lol
 
Mamushka ungependeza sana kama ungesomea sheria. Sijui nani alikudanganya usome haya ma-uhandisi.
babaangu alinirithisha lakini sasa nitajiandikisha masomo y ajioni chuo kikuu huria nisome sheria kama 'hobby' hahaaaa lol!!!
 
Its like having a really bad car accident every single day for about year or two...but u know what? time heals...
 
HII NI KITU MBAYA SANA AISEE HASA UKIWA NDIO UMEJITOA KIMWILI NA KIROHO KWA MTU THEN ANAKUTOSA MBAYA SANA,MIE KUMBUKUMBU ZANGU BEFORE SIKUWAHI KUPENDA DEMU KABISAA ILE IKAINGIA ROHONI,LAKINI KUNA MUDA NILIMPATA MTOTO MMOJA WA KIMARANGU PALE NDIO NILIJITOA HASWA KWA MARA YA KWANZA,LAKINI ALICHOKUJA NITENDA SITASAHAU MAISHANI KAMWE,MPAKA LEO HUWA BADO NAONA KAMA NI NDOTO MBAYA NILIYOWAHI OTA KTK MAISHA YANGU AMBAYO HAISAHAULIKI,CHA AJABU MPAKA SASA BADO ANANISUMBUA TURUDIANE.:angry:
 
haaa tumekutana restaurant, najiburuza na tumbo langu mr pembeni, kusalimia alishindwa,alibaki kaduwaa tu, nikaja kukutana nae supermarket nimeshajifungua, hapo ndipo ninapowachoka wanaume, ananitongoza kwa mara nyingine, kidogo nimpigie mayoweee.

hahaaa lol!!!!
ungempigia keleuwiiiii cha mwizi!!!!
 
HII NI KITU MBAYA SANA AISEE HASA UKIWA NDIO UMEJITOA KIMWILI NA KIROHO KWA MTU THEN ANAKUTOSA MBAYA SANA,MIE KUMBUKUMBU ZANGU BEFORE SIKUWAHI KUPENDA DEMU KABISAA ILE IKAINGIA ROHONI,LAKINI KUNA MUDA NILIMPATA MTOTO MMOJA WA KIMARANGU PALE NDIO NILIJITOA HASWA KWA MARA YA KWANZA,LAKINI ALICHOKUJA NITENDA SITASAHAU MAISHANI KAMWE,MPAKA LEO HUWA BADO NAONA KAMA NI NDOTO MBAYA NILIYOWAHI OTA KTK MAISHA YANGU AMBAYO HAISAHAULIKI,CHA AJABU MPAKA SASA BADO ANANISUMBUA TURUDIANE.:angry:

na wewe pale ukirudi ujue unatia sahihi hukumu yako ya kifo.......

kutenda kosa si kosa kosa kulirudia tena.....shauri yako!!!
 
wewe nani kakuambia hayo, nilickitika ctuation aliyoniacha nayo na sio ndombolo wala mayenu cjui,kumsahau nilishamsahau kitambo, ni yeye tu anaweweseka, mie cjawahi kuacha mtu aisee, cjapataga bahati hiyo...lol
Sikujua alikuacha na ujauzito. Shenzzy zake kabisa. Kwahiyo shem wangu ukambambikia mimba au uli do the needful?

BTW: Hivi kumbe kuacha nayo ni bahati? Subiri niitafute bahati yangu.
 
na wewe pale ukirudi ujue unatia sahihi hukumu yako ya kifo.......

kutenda kosa si kosa kosa kulirudia tena.....shauri yako!!!
Ney,shem hata iwe vipi siwezi kabisa hata mungu atanilaani aisee,by the way haiwezi kutokea hata ndotoni after all this years nirudi kule,aah wapo wachumba wengii wazuri nikihitaji mda wowote napata.
 
hapo na wewe usijishaue, mda wowote kwani wao wankuhitaji.........???

btw ule mchakato wetu sijui uliishia wapi, my offer is still valid though!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom