bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Ukijitoa kumpenda mtu na kumpa kila kitu, halafu huyo mtu akashndwa kujua jinsi gani anapendwa na wewe akakuumiza, hupaswi kujilaumu.
Anapaswa yye kujilaumu kwa kukosa kusoma alama za nyakati kwamba anapendwa na mtu sahihi na anapewa mapenzi sahihi .
Atakuja kujua baadae sana kwamba kuna mtu sahihi aliwahi kumpenda kwa usahih na yeye hakuwa na macho ya kuliona penzi hilo kwa usahihi.
Usilie wala kujilaumu ukikumbana na watu wa namna hii, tafuta mtu mwingine mmwagie huba la kufa mtu, ipo siku utakutana na mtu atakaeona penzi lako na atalipokea kwa miguu na mikono yote huku akitabasam.
HUU NI USHAURI WANGU TU BROTHER USIUZUNIKE SANA.