Extraordinary
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 541
- 178
Kujifariji muhimu but
maumumivu ya kuachwa na umpendae kwa dhati yasome tu humu jamvini ila
yasikukute
ha! ha! ha!
Kujifariji muhimu but
maumumivu ya kuachwa na umpendae kwa dhati yasome tu humu jamvini ila
yasikukute
.ukweli uko hasa pale bampami anaposema "tafuta mtu mwingine mmwagie huba la kufa mtu," ila kwenye kujilaumu inaweza ikakulazimu ujilaumu kwani mapenzi/mahusiano yana uwanja mpana sana, na kulingana na makuzi tofauti twajikuta tukiwa na imani tofauti na utendaji tofauti, najua wengi twafahamu "HAKUNA JAMBO LIFANYIKALO PASIPO KUWA NA NISHATI/NGUVU INAYOLIPELEKEA JAMBO HILO LAFANIYIKE NAMNA LIONEKANAVYO NA KWA WAKATI HUO" ko bado naamini kama nimeachwa au nimeacha LAZIMA kuna ushiriki wangu katika kulifanya tukio litendeke aidha kwa njia iliyo wazi au isiyo wazi, nimesema hivi kwasababu si lazima sana mtu aliyekuacha akalazimika kujilaumu "KUNA WATU HUWAACHA WAPENZI WAZURI ALAFU HUPATA WAPENZI WAZURI ZAIDI NA MAISHA KUWA MATAMU ZAIDI" ataanzia wapi kujilaumu mtu kama huyu?..