Ndo mlivyo
Hapa sio wote
Pia ni mtu akili zake wanaume kwa wanawake yoyote anaweza fanya ujinga huo
Vyovyote iwavyo sio vizuri
Ndo mlivyo
Ukipenda kwa moyo wote jiandae kuumwaHapa sio wote
Pia ni mtu akili zake wanaume kwa wanawake yoyote anaweza fanya ujinga huo
Vyovyote iwavyo sio vizuri
Ukipenda kwa moyo wote jiandae kuumwa
Umeachwa na wewe km mimi??Daaah acha tuuuuu
Bora aseme kaniacha ingekua heri vtuko tu afu ckuwah ata kutegemea na najua KBS cjawah mkosea cm ad nimuanze mid nkicool anacool...BA's ndo nmecool now week inaisha...but co mbaya acha life liendeleeUmeachwa na wewe km mimi??
Kwa tajiri cha nini maskini nitakipata lini come this way..[emoji8][emoji8][emoji8][emoji125][emoji125][emoji125]Bora aseme kaniacha ingekua heri vtuko tu afu ckuwah ata kutegemea na najua KBS cjawah mkosea cm ad nimuanze mid nkicool anacool...BA's ndo nmecool now week inaisha...but co mbaya acha life liendelee
Hapana mkuu hata wanawake wapo isipokuwa alichofanya huyu mchumba wa mamdogo ni hatari sana kingeweza hata kjhatalisha maishanaona katika maelezo yako mkuu, umekazia kuwa kuna wanaume hawana huruma hata chembe, vipi kwa upande wa pili (wanawake ) wao ndo wana huruma eeh?
Basi sawa, mpe poleHapana mkuu hata wanawake wapo isipokuwa alichofanya huyu mchumba wa mamdogo ni hatari sana kingeweza hata kjhatalisha maisha
Ndo maana mapenzi ya kweli yamekufa
Hatari sana bora angetumia njia nyingineYahni hatariiii kuna wanaume makatili sana yahn hajafikilia hata maumivu atakayompa mwenzi3