Kuachana kwa Amani ya bwana

Kuachana kwa Amani ya bwana

Monda kubwa

Senior Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
121
Reaction score
158
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikaa kama miezi minne. Baadae naona alipata mtu ambaye aliona alikuwa sahihi kwake kuliko mimi. Dada na vitimbi na visa kibao nikaamua kuachia nafasi kwa moyo safi kabisa. Kuna mambo nilikuwa nimemsaidia, nilimnunulia mpaka simu na mambo mengi tu.

Baada ya kumuambia kuwa najua hanipendi kwa hio acha niende zangu, alikaa kimya kwa siku mbili halafu akaniandikia message, ikawa inasema "hujaja kwangu kuchukua vitu flan flan?" Nilijibu kistaarabu kabisa "Mimi kwako sijaja" sikuelewa alikuwa na maana gan mpaka sasa. Ila katika vitu vinavyonishinda ni kuachana na mpenzi wako na kuanza kuchukua vitu. Naamini kabisa nipata zaidi ya nilichopoteza. Binadamu mnasema je?
 
Umefanya vizuri kumuachia kila kitu.

Muache aende zake.
 
Achana nae sepa cheki mwingine kila mwanamke unawexmza mpata ni the way unavyotumia vyema act if aproach
 
Back
Top Bottom