Kuachana alafu ex anaanza kukuponda

Kuachana alafu ex anaanza kukuponda

Hizi mada za mapenzi na mahusiano ni nyingi sana humu sikuhizi
 
Mmeshaachana huo muda wa kumfuatilia unautoa wapi badala ugange yajayo.

Au ndio ile ukikaa kazi yako kuangalia status za whatsapp ameandika nini baada ya hapo unajitafsiria mwenyewe. Wacha hizo.
Me huwa siwaelewi wanao achana halafu MTU anafuatilia mpaka last seen,.ndio nn sasa,MTU ukisepa sepaa tuu moja kwa mia hakuna kuremba...
 
Me huwa siwaelewi wanao achana halafu MTU anafuatilia mpaka last seen,.ndio nn sasa,MTU ukisepa sepaa tuu moja kwa mia hakuna kuremba...
Ujue bado anampenda hapo.

Na kuna wale akikutana na rafiki wa aliyeachana naye basi anaanza kumchimba fulani hajambo vp anasemaje? Ya nini yote hayo.

Hapo ndio wengi wanajazwa maneno ya uongo na yeye bila kufikiria basi anayabeba mazima mazima kumbe hakuna hata la ukweli.
 
Wewe umejuaje kama anakuongelea una kibamia sijui ki pili pili? sikia achana nae huyo mwanamke acahna na kuangalia stetus kaandika nini,wewe focus na maisha ,Ukitaka kumpiga kila Mbwa anae bweka utachelewa kufika safari yako.
 
Mkibreak up in a friendly way! hizo vitu huwezi visikia abadan!
 
miezi 36 mnafanya zinaa..... acha aseme una kibolo kidogo.......hata mtoto hajakuzalia.......hakika bamia hazina mbegu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom