popoo kuranyi
Member
- Nov 30, 2017
- 10
- 4
Hivi umekaa na mpenzi miaka mitatu unamlaaa kilaaa siku vizuri tuu, mnaachana anaanzaa ooh unakibamiaaa, Oooh huwezi mapenzi sijui nini matusi kibao kisa umemuudhi
Kuna mtu aliniambiaa ukiona umemuacha demu anaendelea kuongea juu ya wewe ujue anakupendaaa hivi ni kweli??
Kuna mtu aliniambiaa ukiona umemuacha demu anaendelea kuongea juu ya wewe ujue anakupendaaa hivi ni kweli??