Mm nmeshangaaa kidgo kwa sababu kama una degree ya ualimu it means basic salary yako n laki saba .Ikitolewa income tax ,pspf /LAPF/GEPF/NSSF , CWT CONTRIBUTION,LOAN /HESLB ,NHIF manake unabakiwa na miatano na upuuzi hivi ,sasa mkuu unataka kuacha kazi ikiwa hoja yako n mshahara mdgo it means unataka kwenda kulipwa 1.5 labda huko ,,,,sasa kwani laki tano mwl hazikutoshi wekeza kdg kdg alafu c bure kazi yenyewe umeanza miaka mitatu tu iliyopita tatizo vjana tunataka kufanikiwa harakaharaka tu komaaa hapo hapo kwanza ndg mambo yatakaa sawa tu mbelen utabadilisha fan,,ila kuna kitu nakiona hasa kwa walimu wanalialia huku mshahara oooh haitoshi tatizo cyo mshahara tatizo n kuwa walimu wengi asilimia 90 % wamekopa hovyo hovyo katika mabenki na taasisi nyingine za mikopo zenye riba kubwa ,,,,,xo mfano unakuta mwlm baada ya makato ya kawaida anabaki na laki 5 huyo wa degree anaenda kukopa ,,yaani haadi 1/3 inaisha kabsa..ndo maana mawazo kibao na hizi hadithi za kutaka kuacha kazi ,ukweli n kwamba mikopo ndio inayowaumiza hasa yenye riba kubwa mfano unakuta CRDB wana riba ya aslimia 17 ,,asasi zingine private zina riba asilimia 23 xaxa hapo unategemea nn kwa mwalimu ,,,,,,,infact mwlm wekeza kdg kdg utafika tu mwishowe utabafilisha fani