Kuacha kazi ya ualimu kusomea kodi

Kuacha kazi ya ualimu kusomea kodi

Ila usiache kazi, kwa maana ajira zenyewe siku hizi hazieleweki.
Unaweza kuhamia kwenye kusoma kodi, ukaishia mtaani.

Viginevyo, nakushauri kusomea ujasiriamali.
ujasiriamali ninapenda sana mambo ya mapishi...mighawa and so on ila mtaji sasa
 
Ukiwa mwalimu mzuri upate watoto wa kufundisha tuition Jumamosi unaweza kula laki mbili kwa mtoto kwa mwezi, inategemea ubora wako

Tuition ya sayansi, maths na English ni hot cake
inategemea na ulipo dada.na mambo ya elimu bure tuition ufundishe kwa umakini maana ikijulikana unawatoza watoto pesa aisee unaweza itwa hadi na mkurugenzi wa elimu
 
UMEFANYA TAFITI YA ENEO UNALOTAKA KUSOMA? UMEANGALI AKIDOGO MITANDAO YA VYUO WANAOFUNDISHA KODI AKUANGALIA NI ASILIMIA NGAPI YA WANACHUO AMBAO WANAMALIZA NA AJIRA ZAO KWA KADA HIYO? NADHANI KWA HAPO UTAJUA NINI CHA KUPANGA NA NINI CHA KUCHAGUA.

USHAURI WANGU KWAKO KWA MASOMO YA KODI NI TAASISI CHACHE SANA AMBAZO ZINA UHITAJI WA WATAALAMU WA HII KADA ILA UNAWEZA UKAANZA KUSOMA KADA AMBAYO HATA OFISI IKIWA NA WATU WATANO BASI NAWE NI MMOJAWAPO KAMA UHASIBU, PROCUREMENT NA HATA MARKETING PIA SIO MBAYA SANA KWA WAKATI HUU KWANI UNAWEZA UKAFANYA JAPO ONLINE MARKETING MAISHA YAKAENDA ILA KWA KODI HAPANA SIKUSHAURI LABDA KAMA UNA MCHONGO TRA AMBAO UNA UHAKIKA 100% UTAFANIKIWA . UTAKUJA JUTA TENA KWA MARA YA PILI KAMA AMBAVYO UNAICHUKIA HIYO DEGREE YAKO YA UALIMU KWA SASA

FANYIA KAZI HUU UPEMBUZI YAKINIFU KISHA CHUKUA YALE YALOYO MAZURI KWAKO
asante kwa ushauri mku
 
OMBA RUHSA YA KWENDA KUSOMA UKIKUBALIWA KASOME KWANZA.
UKIMALIZA NDO UOMBE HIYO AJIRA YA KODI.
UKIPATA NDO UHAME TAASISI TU, KUTOKA ELIMU KWENDA KODI.

yaani mshahara wa ualimu haukutoshi halafu unataka uachane kazi ukoseme HIJAJIULIZA ADA NA PESA ZA KUJIKIMU UTAPATA WAPI??!!
 
Kama ni bsc phy& math. Jiongeze katika tecnical skill au engineering UDSM kuna post graduate ktk engineering, civil, mechanics, electronics İT nk. Hizi fani wewe mwrnyewe ni ofisi tofauti na kodi lazima uajiliwe ili uishi.Kwa mfano ukisoma civil huta kosa kazi hata za chini kabisa.Jambo lingine ni ufundi wa kawaida. Jifunze kufanya repair and mantainance ya vitu vifuatavyo
1.Smart phone (Hardware and software )
2.Computer maintainance (Hardware and soft ware) baadhi ya mambo umeishayasoma ktk digital & analogue circuits.Hapa unahitaji practical tu.
3.Office machinery ie.photocopy, printer nk
4.Fridge
5.car electrification( kumbuka magari yanaongezeka kila kukicha tena sminapesa
) ambayo hayahitaji wababsishaji!
6.Air condition hii principle ipo sawa na fridge na baadhi ya mambo umeisha yasoma kwenye thermodynamics
7 .Home decoration.Hii fani sijui inapotolewa ila kuna jamaa zangu(La 7) Walikuw wakifanya sijui hata walikojifunza ila inapesa

Kuwa multipurpose .
Kuwa focused.
İvue degree na ujivae wew mwenyewe.
Shirikiana na watu wa maeneo ulipo, watakufungua zaidi.
Mwisho soma kidogo kuhusu ujasiliamali bsc huwa hwafundishwi hiyo kozi na ndio maana huelewi kuwa degree ya bsc ni tofauti na nyingine .
asante sana ndugu
 
ujasiriamali ninapenda sana mambo ya mapishi...mighawa and so on ila mtaji sasa
Yaaan huna hata mtaji wa mgahawa pamoja na kuwa take home yako haipungui 450k kwa mwezi baada ya makato? Trust me ww jamaa umeubwa kuwa masikini na usipobadilika utajiua siyo mda mrefu sana!
 
Umeambiwa ukisoma tax ndio kuna hela za kuokota kizembe? jidanganye nazani pepo la umaskini lipo mlangoni mwako linabisha hodi wewe ni uamuzi wako kufungua mlango usiku wa manane au kuendelea kulala.

Watu wanaacha kazi na kujiajiri wewe unawaza kuacha kazi ili ukasomee fani ya kodi kisha ujee mtaani uanze kutafuta ajira. Unategemea uje upokee rushwa ukue tajiri mapema? Unazani MTU alie na certificate ya tax analipwa mshahara mnono kuliko mwlimu mwenye degree ya science!!

Unataka kumiliki nyumba 25 viwanja 70 na magari 27 kama yule masamaki wa bandari? Hahaaa yajayo yanasikitisha sana? Lengo la Elimu ni kumwondoa mhusika ujinga sio kuajiriwa ndio sababu chuoni mnafundishwa Dunia na Duniani. Kazi na Kazini. Kama ndio ilivyo ukimaliza kusoma tax kasomee na Doctor of medicine mshahara wao sio mbaya sana
 
Mkuu hivi kozi repair ya simu inapatikana chuo gani kwa hapa Tz?
 
Tayari una ajira kilichobakia hapo ni wewe kujiajiri ili ukuze kipato chako, na kazi yako huiachi.
 
Sitaki kukupinga na wazo lako,mimi najiandaa kuacha kaz,sitaki kusoma tena,nimeona nijikite kwenye biashara sitaki masimango kusoma nikupoteza mda tena 31 years ni mingi sana
 
Yaaan huna hata mtaji wa mgahawa pamoja na kuwa take home yako haipungui 450k kwa mwezi baada ya makato? Trust me ww jamaa umeubwa kuwa masikini na usipobadilika utajiua siyo mda mrefu sana!
walimu wote wana biashara?
asilimia ndogo sana
walimu wengi maskini sana huo ndo ukwel
 
Elim haina mwisho, kama upo science na ni PCM nenda udaktar kabisa kukata mziz wa njaa ndogondogo
 
Umeambiwa ukisoma tax ndio kuna hela za kuokota kizembe? jidanganye nazani pepo la umaskini lipo mlangoni mwako linabisha hodi wewe ni uamuzi wako kufungua mlango usiku wa manane au kuendelea kulala.

Watu wanaacha kazi na kujiajiri wewe unawaza kuacha kazi ili ukasomee fani ya kodi kisha ujee mtaani uanze kutafuta ajira. Unategemea uje upokee rushwa ukue tajiri mapema? Unazani MTU alie na certificate ya tax analipwa mshahara mnono kuliko mwlimu mwenye degree ya science!!

Unataka kumiliki nyumba 25 viwanja 70 na magari 27 kama yule masamaki wa bandari? Hahaaa yajayo yanasikitisha sana? Lengo la Elimu ni kumwondoa mhusika ujinga sio kuajiriwa ndio sababu chuoni mnafundishwa Dunia na Duniani. Kazi na Kazini. Kama ndio ilivyo ukimaliza kusoma tax kasomee na Doctor of medicine mshahara wao sio mbaya sana
eti masamaki hahaha
 
habarini Ndugu zangu,kiukweli ninalitoa hili kutoka moyoni.mshahara haukutani mwisho wa mwezi japo nina degree ya ualimu wa sayansi ila hela ni ndogo.
sikufuru kuna wengi hawana kazi kwa sasa ila nawaambieni ualimu wanavyosema ni wito wanamaanisha usitegemee kupata pesa ya kufanya lolote.nimejitahidi kukusanya masalia ya mshahara ili nipate walau ela ya mtaji wa kufanya biashara yoyote ila haukusanyiki aisee.
nimewaza mengi ila kubwa nimeona kupata mtaji kwa sasa ni mtihani mzito.
nimeona ni chepuke kodogo japo nikasomee mambo ya kodi japo cheti tu kwanza.nicheki na ajira upande huo wandugu
Naomba Godfather pande hizo wakuu such as mentor and something like that.
msaada wakuu mawazo na hitaji hilo hapo juu
Kwanza tuambie umeoa?
Una watotowangapi?
 
Mm nmeshangaaa kidgo kwa sababu kama una degree ya ualimu it means basic salary yako n laki saba .Ikitolewa income tax ,pspf /LAPF/GEPF/NSSF , CWT CONTRIBUTION,LOAN /HESLB ,NHIF manake unabakiwa na miatano na upuuzi hivi ,sasa mkuu unataka kuacha kazi ikiwa hoja yako n mshahara mdgo it means unataka kwenda kulipwa 1.5 labda huko ,,,,sasa kwani laki tano mwl hazikutoshi wekeza kdg kdg alafu c bure kazi yenyewe umeanza miaka mitatu tu iliyopita tatizo vjana tunataka kufanikiwa harakaharaka tu komaaa hapo hapo kwanza ndg mambo yatakaa sawa tu mbelen utabadilisha fan,,ila kuna kitu nakiona hasa kwa walimu wanalialia huku mshahara oooh haitoshi tatizo cyo mshahara tatizo n kuwa walimu wengi asilimia 90 % wamekopa hovyo hovyo katika mabenki na taasisi nyingine za mikopo zenye riba kubwa ,,,,,xo mfano unakuta mwlm baada ya makato ya kawaida anabaki na laki 5 huyo wa degree anaenda kukopa ,,yaani haadi 1/3 inaisha kabsa..ndo maana mawazo kibao na hizi hadithi za kutaka kuacha kazi ,ukweli n kwamba mikopo ndio inayowaumiza hasa yenye riba kubwa mfano unakuta CRDB wana riba ya aslimia 17 ,,asasi zingine private zina riba asilimia 23 xaxa hapo unategemea nn kwa mwalimu ,,,,,,,infact mwlm wekeza kdg kdg utafika tu mwishowe utabafilisha fani
 
Ukiwa mwalimu mzuri upate watoto wa kufundisha tuition Jumamosi unaweza kula laki mbili kwa mtoto kwa mwezi, inategemea ubora wako

Tuition ya sayansi, maths na English ni hot cake
Sio kila Mwalimu anaishi mjini,vijijini huko hata ukitangaza tuition kwa mwezi ni elf 5 wanafunzi hawana uwezo wa kulipa.
 
walimu wote wana biashara?
asilimia ndogo sana
walimu wengi maskini sana huo ndo ukwel
Ww jamaa umeubwa kuwa masikini tena ukiendelea na mawazo mgando yako haya hakika una safari ndefu sana ya kiukombozi wa kifikra,mwisho kabisa naweza kukwambia WW ACHA KAZI UTAONA ilivyo KAZI kuishi bila KAZI![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Samahani mleta mada Nina MASHAKA Kama kweli Wewe Ni mwalimu,nimejaribu kujizuia nashindwa HIVI INAWZEKANAJE MWALIMU MZIMA UKAWA NA UPEO FINYU HIVI? WALIMU WOOOOTE HATA WA CHEKECHEKA TU NI WABUNIFU SASA IWEJE WEWE!!!!!?
 
habarini Ndugu zangu,kiukweli ninalitoa hili kutoka moyoni.mshahara haukutani mwisho wa mwezi japo nina degree ya ualimu wa sayansi ila hela ni ndogo.
sikufuru kuna wengi hawana kazi kwa sasa ila nawaambieni ualimu wanavyosema ni wito wanamaanisha usitegemee kupata pesa ya kufanya lolote.nimejitahidi kukusanya masalia ya mshahara ili nipate walau ela ya mtaji wa kufanya biashara yoyote ila haukusanyiki aisee.
nimewaza mengi ila kubwa nimeona kupata mtaji kwa sasa ni mtihani mzito.
nimeona ni chepuke kodogo japo nikasomee mambo ya kodi japo cheti tu kwanza.nicheki na ajira upande huo wandugu
Naomba Godfather pande hizo wakuu such as mentor and something like that.
msaada wakuu mawazo na hitaji hilo hapo juu
Mkuu kama pesa haipo ni haipo tu kama huwezi pata hela hapo unapofundisha basi hata ukiuza kitumbua bado hutapata Pesa
 
Back
Top Bottom