Kuacha kazi kwa notice ya siku 28

Kuacha kazi kwa notice ya siku 28

Ikitokea umeomba kuacha kazi, na umekubaliwa.. Mfano ulikua na mkopo na bank.. Na bank walizoea kukata katika mshahara wako.. Sasa labda umejiajili itakuaje jamaa wa bank watapataje Chao..

Na katika ajira hukufikisha miaka kumi (Ajira ya serikali)
 
Naomba mnisaidie ,kaxini kwangu wameweka notice ya miezi 3 ukitaka kuacha kazi ,je kisheria ni sawa
 
utasubiri sana...mwezi mzima utasaga lami
Mimi nimeacha kazi sehemu mbili kwanza nlikuwa mfuko wa nssf then mfuko wa ppf huko kote sikuzungushwa kama kusubiri mwezi mmoja unasubiri siku ukienda unapata. Ppf nao nlisubiri mwezi wakaingiza hela kwenye account yangu. Shida ni pale km mwajiri alikiwa hapeleki michango hapo ndo balaa linapojitokeza
 
kila kitu waachie wenye kazi zao watajua....ww unataka mpunga wako ama nini???
Hiyo ni iwapo umeacha kazi au kama unaendelea na kazi lakini unataka upewe kiasi kile cha mafao yako kama umetimiza masharti ya kuchangia mfuko miaka 15?
 
Naomba mnisaidie ,kaxini kwangu wameweka notice ya miezi 3 ukitaka kuacha kazi ,je kisheria ni sawa
Ni sawa kabisa ,notice ni siku 28 according to ERLA lkn imesema ukiajiriwa kwa mkataba mkataba utaspecify ni notice ya miez mingapi.

Lakini standing order yenyewe imeexplain kua ni notice ni miez 3
 
Ni kweli mkuu. Mbali na financial benefits kama hizo kuna mengine ambayo ni ya kimahusiano zaidi 1.Ukiomba kazi sehemu nyingine na huko wakahitaji reference kutoka kwao kuhusu utendaji wako wa kazi itakuletea shida kwa sababu hautapata recommendation nzuri. 2. Siku moja huko mbeleni unaweza kuhitaji kurudi kufanya nao kazi tena. Hapo utakwama kwa sababu haukuondoka kwa ustaarabu 3. Kuna uwezekano mtu wa HR uliyemwacha pale bila kumuaga ukamkuta katika taasisi nyingine ambako umeomba kazi na kuitwa kwenye interview. Sasa kutokana na tabia yako uliyoonyesha ya kuacha kazi bila kuaga, kuna uwezekano mkubwa nae akachangia kukuangusha kwenye interview hiyo.

Kwa ujumla ni jambo la kistaarabu kuondoka kistaarabu kwa kuaga. Pia uepuke maneno ya dharau kuhusu mahali hapo ulipokuwa na pia kujivuna au kujivunia waziwazi kazi yako mpya na taasisi nyingine unakoenda. Kuna methali isemayo usiwatukane wakunga na uzazi ungalipo.
ukitoa notisi ya siku 28, je unaweza ukapata mafao ya ku

katikia kipindi cha notisi ya siku 28, unaweza ukachukua likizo?
 
Niliacha kazi kwa mwajiri wa zamani, abscond nikahama na namba yangu ya nssf ambayo naendelea nayo. je kuna tatizo baadae nikija fuatilia mafao yangu?
 
Wakuu za leo,

Katika utumishi kuna utaratibu wa kuacha kazi kwa kumpa mwajiri taarifa ya siku 28 au mwezi mmoja.

Swali langu je katika huo mwezi wa notice mwajiri anakulipa mshahara au unafanya kazi bila malipo?

Ahsanteni.
Ume handover salama na umefanya job yako mpaka mwisho wa makubaliano lazima wakupe mishahara bosi
Wakuu za leo,

Katika utumishi kuna utaratibu wa kuacha kazi kwa kumpa mwajiri taarifa ya siku 28 au mwezi mmoja.

Swali langu je katika huo mwezi wa notice mwajiri anakulipa mshahara au unafanya kazi bila malipo?

Ahsanteni.
 
Na huo mshahara wa kumlipa mwajiri wako unaulipa mapema na risiti ya kulipa mshahara huo lazima uiambatanishe kwenye barua yako unayoomba kuacha kazi/notisi ya masaa 24. Vinginevyo hilo ombi lako la kuacha kazi halitakubaliwa kwa sababu litakuwa halijakidhi vigezo.

Kwa maana nyingine ni kwamba wewe unaeacha kazi unatakiwa kumlipa mwajiri wako huo mshahara wa mwezi mmoja ambao unatakiwa uwe ni basic salary (usidhani ni ile net salary!) na kuambatanisha kwenye notisi yako bila kujali kwamba mshahara wako wa mwezi huo umeshalipwa kwako au la.

Kama wakati unapeleka notisi yako ya kuacha kazi wewe ulikuwa haujalipwa basi huo mshahara wako utafuatia baadae katika tarehe za kawaida za ulipaji wa mishahara.
Sasa mbona Fei toto asingefuata utaratibu huu kumbe simple tuu
 
Iwapo umeandika notisi ya siku 28, Je ndani ya huo mwezi wa notisi unastahili kulipwa mshaara
 
Back
Top Bottom