mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Mambo vp wadau,ndugu, jamaa na marafiki
Leo naomba msaada mmoja tu kutoka kwenu, ni jinsi gani nita unlock website zilizofungiwa,kwa mfano maofisini utakuwa website kama facebook,youtube n.k huwezi kuzipata, please naombeni msaada wenu.
Angalizo: msinifikirie vibaya mkaniona napenda kuchat tu nikiwa kazini badala ya kufanya kazi,ni muhimu sana haswa kwasisi tunaofanya kazi sehemu ambazo hata simu za mkononi haturuhusiwi kuingia nazo.
thanks in advance.