ku unlock moderm

ku unlock moderm

Muhozy

Member
Joined
Dec 6, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Naomba kuuliza ukitumia modern ambayo tayari ikiwa unlocked ufanisi wake nisawa tu na ile ya kawaida? Au uwezo hupungua baada ya Ku unlock. Naomba uzoefu wakuu.
 
Inakuwa vizuri tu kama kawaida sababu pale unakuwa umeunlock code tu....!!
 
Ahsante Mkuu! Maana kuna moderm za airtel zinauzwa zikiwa unlocked so nikashituka baada ya kusikia zimefurashiwa, sijui pia kuna kufrash na Ku unlock?
 
Kutumia tu neno kuflash sababu ni tushazoea lakin kaunlock
 
Naomba kuuliza ukitumia modern ambayo tayari ikiwa unlocked ufanisi wake nisawa tu na ile ya kawaida? Au uwezo hupungua baada ya Ku unlock. Naomba uzoefu wakuu.

= modem
 
Ahsante Mkuu! Maana kuna moderm za airtel zinauzwa zikiwa unlocked so nikashituka baada ya kusikia zimefurashiwa, sijui pia kuna kufrash na Ku unlock?

??????????????
 
Kuna njia tofauti za kufanya modem itumie line zote, unaweza kuflash (kueka firmware kwa ku upgrade/downgrade), unaweza ku unlock kwa kueka unlock code au hata kubadili dashboard ya modem tu.

Hivyo kila modem ina style yake usishangae
 
Naweza tumia software gani kunlock modem inayotumia icera
 
Back
Top Bottom