Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Sasa kama line ina pesa, unafanya je? Kuna mazingira ambayo ku renew line haikwepekimimi nikipoteza line nanunua nyingine namba muhimu ziko kwa google acc japo kuna baadhi ya watu wanapataga tabu kunipata kutokana na mambo ya kibiashara na kiofisi but haichukuagi mda mambo yanakaa sawa....ni sawa na kupoteza siku nzima au 2 kabisa ili urenew line tu
labda hivo...ila mimi sio muumini wa kuweka pesa kwenye lineSasa kama line ina pesa, unafanya je? Kuna mazingira ambayo ku renew line haikwepeki
Wameamua kukusumbua tu,nenda kituo kingine cha polisi,mi nilipoteza sim card ikiwa na kama 480,000.
Nilienda polisi wakanipa fomu baada ya hapo nikaenda vodashop hapo hapo walirenew nikaambiwa mpesa itaanza kufanya kazi ndani ya masaa 48 hadi 72 .
Hao wameamua kukusumbua tu,process yote ilikuwa ndani ya dk 20 maana kituo cha polisi haikuwa mbali na hamna barua yoyote ya serikali ya kijiji
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Serikali imeamua kupunguza wateja wa kampuni za simu. Tunarudishwa kwenye enzi za mawasiliano kwa baragumu.Hivi majuzi nilipoteza simu iliyokuwa na line ya mtandao fulani (sitautaja) kwakuwa ni line inayofahamika zaidi nilitembelea duka la mtandao husika ili wanisaidie kurudisha, baada ya maelekezo mafupi walinielekeza kwenda kituo cha polisi cha kati, polisi nao walinipokea na kuniuliza tarehe ya kupoteza, nikawatajia, wakaniambia niendelee kuitafuta kwa siku 7 nikikosa kabisa ndo niende kupata loss report.
Ikabidi nicheke nikamwambia kamanda jaribu kufikiri kuhusu muda pia, badae akasema sawa ila inabidi tuandike ilipotea siku 7 zilizopita nikakubali akaandika nikahisi nikisha lipia ntakuwa nimemaliza na kurud dukani.
Cha ajabu baada ya kupewa RB na kukamilisha taratibu zote za loss report, polisi walinielekeza kwenda ktk mtaa ninaoishi then mwenyekiti wa mtaa anipe barua ya utambulisho ndipo niende duka la service provider wangu ku renew.
Hapo nilichoka kwakweli.
USHAURI: Taratibu hizi zingefuatwa kipindi cha kusajili line sio ku renew line, hatahivyo kwa maendeleo ya technology kwasasa sidhani kama huu mlolongo unatija, wekeni utaratibu tufanye kilakitu online, unganisheni mifumo yenu na NIDA ili tukifanya vyote online ukitoka nyumbani unaenda dukani kuchukua line yako unasepa.
swadakta, hata mm nlitumia utaratibu huo huo. ni jambo la siku moja tu, japo police huo utaratibu unanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana ndo wanakupa loss report
unaweza kuta line yako imesajiliwa kwa alama za vidole lkn ukuenda kurenew wanakuambia hbr z loss reportNadhani huu mfumo wa alama za vidole utarahisisha zaidi kurenew line.
Loss report sawa maana huwezi jua simu inavyopotea kiusalama lazima polisi lazima wae na taarifa hata ikitokea laini yako imetumika kwenye uarifu uwe salamaunaweza kuta line yako imesajiliwa kwa alama za vidole lkn ukuenda kurenew wanakuambia hbr z loss report