Ku-date Mzungu raha sana

Vipi kwenye hela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapata kuona comment za chuki kama hizi,hivi ni kwanini huwa hatupendi kusikia habar nzuri za wengine?
Hongera Bibie kwa kuopoa mzungu wako wapo poa sana na kuna ambao wana tabia chafu na nzuri kama tu sie ngozi nyeusi cha msingi kuwa makini.Fuata akili yako na sio moyo wako.Enjoy kwa raha zako.Usisikilize maneno ya wenye husda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hio ndio tofauti kati ya sisi wa afrika na watu weupe hakuna wachache sana manamkw au mwanume mweusi anaweza akafanya vitu vyote hivo for love...halafu unajidhihirisha kwamba hupendi kufuatililiwa hivi wewe unamcare mtu kiasi hiko maana yake lazima umfuatilie a cha upumbavu by the way najua ni chai ila badilika acaha tabia za kisawahili
 
Ukidate na mchina tupatie mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaa kumbe zungu lenyewe zeee🥴
 
Vipi na yeye akiendelea kuwa na mawasiliano ex wake, utapenda!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…