Ku-date Mzungu raha sana

Duuh!! Hivyo hao wengi wote huwa wanadate na wazungu Baba mchungaji? [emoji41][emoji41]
Mama Mchungaji....
Tupo wanaume wengi wenge upendo wa dhati na tunajali pia (uzungu ni rangi tu).
Lakini hapa naona hoja kubwa nime reflect tabia za wadada wa uswahilini (haijalishi rangi), jinsi wasivyo ridhika na hata kusahau upendo woote wenye wanaupata kisha wanatafuta visingizio kama kwenye uzi unavyo jipambanua...teh[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Baba Mchungaji nimekuelewa. Na ninaimani na mleta uzi kakuelewa pia.
 
ndio mlivyo wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…