Ku-date Mzungu raha sana

hajaomba tigo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unaamini kua wazungu wote wana tabia kama ya huyo mzungu wako mpaka wewe kufikia conclusion ya kusema "Kudate mzungu raha sana''?

Hiyo ni tabia ya mtu tu wala haihusiani na race ya mtu,unaweza pata Mchina,muhindi,mwafrika au yeyote yule na akawa bora pia,kila jamii ina watu wazuri na watu wabaya.
 
Kwanini hutaki ajue kila unachofanya?
Na hiyo ndiyo sifa pekee inayowaangusha wadada wa kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
🀣🀣🀣🀣🀣 eti hataki kufuatiliwa, Inshort wanawake wenye tabia hio wanataka wanaume mazuzu ili wafanye umalaya kwa raha. Unakatazwa usishike simu yake ili ushenzi anaofanya usiujue.

Mwanaume awe muaminifu yeye akitongozwa pembeni basi akapigwe mashine kimya kimya bila kidume chake kujua. Hapo kwa mzungu atafua dafu maana wazungu wanataka mtu muaminifu daima.
 
Vipi,umempokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu Dada atakuwa ni muhaya tu!
Maana ndo zenu izo" mpige na agenda igeruke"
 
Kwa wahindi hapana aise!! Hakuna mzuri hata mmoja wote ni walewale
 
Umezidisha mdalasini hebu weka cocoa na tangawizi kuongeza ukakasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…