Ktk Kumuaga Bob: CHADEMA hawakuzingatia Utaifa

images

Ngoromiko, umechanganyikiwa...shuhudia mazishi ya Balozi Edward Athumani Mhina aliyefariki mwaka 2008. Nyadhifa alizowahi kushika;

  1. Balozi wetu nchini Sweden kwa kipindi cha miaka 10.
  2. Mkurugenzi wa Tume ya Elimu.
  3. Mwenyekiti kwenye Bodi ya SIDO

huu ndio utaifa? Kumzikia marehemu na rangi za magamba ni kumuandalia marehemu mazingira mabaya ya kwenda jehanamu maana Mungu hapendezwi na hizi Rangi za kigamba.
 
kwani bendera si uzi tuu tena wa pamba iliyolimwa hapo bariadi kwa mzee viji se......!,rangi maana yake nini....?
haina mana yoyote jamani....
 
Siku mtikila akifa utaona bendera tutakayomuwekea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unaongea kama vile wewe una "contract" na Mungu, kuwa wewe una uhakika wa Mtikila kukutangulia.
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.

Wewe inaonekana hujui hata ukiongeacho hapo amefariki akiwa mwanachana na mpigania uhuru wa pili wa kuwakomboa watanzania mikononi mwa wezi na wazurumu wa nchi hii sa aagwe kitaifa kivip au hujui hata hapo kaagwa kitaifa au hujui CHADEMA ni chama cha kitaifa?
 
Kwa vile anayekulipa kupost huu ukuda ni kilaza basi ataendelea kukulipa vinginevyo angekuwa mtu makini angekupiga chini,yaani unatoa mvuke tu gamba wewe,bure kabisa na kama sikosei wewe ndiye Mkama uliyetokota pale Karim Jee mpaka M/kiti wako akaangalia chini kwa aibu.

Mkuu hapo kwenye red huyo siku hizi anajulikana kwa jina la KAMBALE KENGE.
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.

Una wivu wa kike wewe -Pisu Msekwa wa CCM.
 
Wewe mtoa mada akili yako imegeukia kushoto,kuja kwa viongozi wote sio ndio uwe msiba wa ccm,hebu jiulize wao viongozi wote walienda msiba wa kanumba mbona hukulalamika alikuwa staa wa taifa?kama chama lazima kienzi mwasisi wake kwa heshima zote ikiwemo bendera ya chama kufunika jeneza na kama angekuwa serikalini kama jeshi au polisi ungeona bendera ya taifa na mizinga,elewa watu wanaofunikwa bendera ya taifa sio kukurupuka tuu,ingekuwa hivo hata nesi pia ni mtumishi wa serikali au mwalimu so siku akifariki naye anafunikwa bendera ya taifa?
 
Kwa hiyo Bob unamlinganisha na nesi?
 
Mkuu ritz hivi ni masikio yangu ama upofu wa kusikia; leo kama nilisikia ati JK na Ikulu waliokoa jahazi kwenye msiba wa mzee Makani baada ya CDM kushindwa kuleta vipaza sauti na kuhudumia msiba. Kama ni hivyo kweli si ni kwamba Serikali iliingilia kati na kwwnyang'anya CDM uhalili wa kushughulikia msiba? Imekuwaje tena wawe ndio wabeba jeneza na kulifunik kwa bendera ya chama badala ya kuipa nafasi serikali imalize mambo yote?
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom