View attachment 56131
Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.
Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.
Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.
Tumia lugha ya kistaarabu. Acha kutia najisi kwenye jamvi. Watu kama ninyi ndo mnafanya JF ionekane kichaka cha wahuni.
View attachment 56131
Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.
Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.
Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.
Bendera ya taifa ina rangi ngapi ili kuiita ya taifa? Muulize Nape hiyo
Ni bendera ya nini kama umetumwa na hujui umetumwa kuja kutetea nini
Haya hawa wadogo tutalaumu shule za kata, na hawa wakubwa je?
View attachment 56131
Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.
Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.
Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.
Acha matusi wewe!Subiri akifa JK mumvalishe hadi chu*pi ya kitaifa.
Jeez! some nerve u got lakini yote kheri.............whether najitutumua or not it seems u dont know how long i have been around and its not for u to know, init?
msiba wa gavana wa BOT Balali mlizingatia utaifa?maana hata mwili wake mpaka leo hamjaurudisha nyumbani
Utaifa upi unautaka Serikali yote ilikuwepo pale, na CHADEMA ni chama cha Kitaifa, na Bendera ile ni alama Rasmi ya Dola tarajiwa 2015, na Makani alikuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Mwasisi wake na katibu mkuu wa Kwanza wa CDM. Hakuwai kuwa Polisi au Mwanajeshi ili afunikwe Bendera ya Tanganyika. ACHA MALALAMIKO YASIYO NA TIJA. R.I.P Bob Makani.
Mzikeni Balali aliyekuwa gavana wa benki kuu KITAIFA kwanza ndo muulize huu usheznzi na upuuzi wenu hapa.Tumia lugha ya kistaarabu. Acha kutia najisi kwenye jamvi. Watu kama ninyi ndo mnafanya JF ionekane kichaka cha wahuni.
Kwani hizo sio rangi za Taifa?
pumpkin head!bendera yako ya taifa haina njano? Haina kijani? Haina blue? Labda taifa la kaskazini lenye rangi nyekundu! Muulize nassari.
pumpkin head!
You will eat coke this time around.....!!!
....rangi za taifa ni 4,kwnn wasiweke zote? Na km ni hivyo basi hata kwny bendera za cdm kuna rangi zinazowakilisha taifa,mfano:nyeusi!...........hizo hapo zinawakilisha ccm!full stop!
Umeshindwa na hoja unaanza viroja.