processor zote za simu zinatumia arm, processor hizo ni qualcom, tegra, mediatek na exynos.
kuna arm nyingi sana unaweza zisoma wikipedia.
so far krait ndio powerfull processor ya simu mfano snapdragon 800 inatumia quadcore krait lakini power yake ni sawa na mediatek/exynos octacore yaani krait 4 ni sawa na exynos/mediatek nane
krait kama sjakosea imetengenezwa na arm 15 lakini yenye mazingira kama arm 7
kwa kifupi krait ni bora kuliko cortex a9, ila ni mada kubwa sana nkipata time ntaiandikia thread
Krait is an ARM-based central processing unit included in Qualcomm Snapdragon S4 and Snapdragon 400/600/800 (Krait 200, Krait 300 and Krait 400) System on chips. It is a successor to the Scorpion CPU and has architectural similarities to ARM Cortex-A15.
1. Inategemea na OS na jinsi ambavyo app au game ipo coded. eg, android apps and games are coded for 512, while za WP8 are coded for 1GB RAM. Ila Krait on WP8 ipo faster than cortex 9 on Android (it lags, ukitumia apps nyingi kwa wakati mmoja).​Which of the two will supposedly give a better and faster processing and gaming experience:
- Swali
1. A phone with 1 GHz Dual Core Cortex A9 with Mali 400 and 512 MB RAM
or
2. A phone with 1 GHz Dual Qualcomm Krait with Adreno 305 and 512 MB RAM?
1. Inategemea na OS na jinsi ambavyo app au game ipo coded. eg, android apps and games are coded for 512, while za WP8 are coded for 1GB RAM. Ila Krait on WP8 ipo faster than cortex 9 on Android (it lags, ukitumia apps nyingi kwa wakati mmoja).
GPX 2.7 Benchmark, off-screen (1080p) inaivulia kofia Adreno 305 on HTC One, compared to Mali 400 on S3.
Note: Im just a self taught fanatic, sina utaalam.
HTC One Mini inatumia 305, sorry. Na ina 1GB RAM.kaka hapo kwenye adreno namba ya katikati ndo inapima power then ya kwanza ni version (strange) simu za bei rahisi ndo zinatumia adreno 305 kama wp8 za ram 512 zote ni adreno 305
htc one inatumia adreno 320 ambayo ni kubwa kuliko kuliko 305.
HTC One Mini inatumia 305, sorry. Na ina 1GB RAM.
Pia, HTC 8XT, ina 305, under WP8 ... nayo ni 1GB RAM.