FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Pia inawezekana yeye kaikuta puzzle imeshapangwa vizuri mezani akaivuruga sasa anahaha kuirudisha kabla hajagundulika (kama mtoto vile!!!!)
Leo kuna mtu ataitwa ofisini kwa Tido Mhando. Na hivi kuna mkakati wakuzuia wafanyakazi wa serikali wasiwe na shughuli za pembeni!! (rejea thread ya Madaktari kuzuiwa kufanya kazi Private)
Hapo kwenye red itakuwa sio fair kabisa.wamegoma kuongeza mshahara ,kipato chenyewe kidogo hivi tutaishije lakini ..kila siku mambo yanazidi kuwa magumu.
Hivi nani alisema maisha bora kwa kila mtanzania?