Kozi yenye uhitaji kwenye soko la ajira

Kozi yenye uhitaji kwenye soko la ajira

Wadau yan yy anataka kozi ambayo akitoka chuo basi possibility ya kujiajiri ni 90%
 
> Pharmacy, - Atafungua duka la dawa na kujiingizia pesa.
> Medical Laboratory, - Atafungua maabara binafsi ya kutoa vipimo na tiba, na kuweza kujipatia pesa.
 
mkuu unajua gharama za vile vifaa vya maabara?
 
Hio pesa ya kumpeleka huko chuo si bora mumpe kama mtaji afanye biashara au mmekariri kwamba ni LAZIMA na yeye awe na degree
anapenda mambo ya sheria na IT mkuu
 
Salaam kwenu,

Nina mdogo wangu kahitimu chuo ngazi ya Degree Bsc. in Chemistry lakini anataka akasomee ktu kingine ambacho kitampa chance nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa. alitaka akasomee kmojawapo kati ya sheria au IT lakini nmemkatalia kusomea IT kwasababu huku mtaani wahtimu wapo wengi, wanadevelop project nzuri kabisa lakini hawana wa kumuuzia hizo project zao kwa sababu giant films zote znanunua toka nje.

Nimemshauri asomee sheria kwa sababu akimaliza chuo hata asipopata ajira anaweza kufungua ofisi yake ya mwanasheria na akapiga kazi.

Wanabodi, je nmemshaur kitu sahihi? Au kuna kozi zenye pesa nzuri zaid anaweza kusomea?

Halafu je, ni ipi model nzuri ya yeye kusoma? akasome post graduate au akaanze upya kama vile katoka form six?

(Advance kasoma PCB)
UjasiliaMali
 
Kwa iyo bsc.in chemistry anaweza kuitumia kama equivalent qualification kusoma degree ya MD au pharmacy
 
Salaam kwenu,

Nina mdogo wangu kahitimu chuo .Ana Degree ya ualimu lakini anataka akasomee ktu kingine ambacho kitampa chance nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa. alitaka akasomee kmojawapo kati ya sheria au IT lakini nmemkatalia kusomea IT kwasababu huku mtaani wahtimu wapo wengi, wanadevelop project nzuri kabisa lakini hawana wa kumuuzia hizo project zao kwa sababu giant films zote znanunua toka nje.

Nimemshauri asomee sheria kwa sababu akimaliza chuo hata asipopata ajira anaweza kufungua ofisi yake ya mwanasheria na akapiga kazi.

Wanabodi, je nmemshaur kitu sahihi? Au kuna kozi zenye pesa nzuri zaid anaweza kusomea?

Halafu je, ni ipi model nzuri ya yeye kusoma? akasome post graduate au akaanze upya kama vile katoka form six?

(Advance kasoma PCB)
ningependa kukutaarifu Kozi ya IT iko vizuri sana kwa kuajiriwa ata online ajira zipo ukiwa na elimu iliyoendelea
 
Salaam kwenu,

Nina mdogo wangu kahitimu chuo .Ana Degree ya ualimu lakini anataka akasomee ktu kingine ambacho kitampa chance nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa. alitaka akasomee kmojawapo kati ya sheria au IT lakini nmemkatalia kusomea IT kwasababu huku mtaani wahtimu wapo wengi, wanadevelop project nzuri kabisa lakini hawana wa kumuuzia hizo project zao kwa sababu giant films zote znanunua toka nje.

Nimemshauri asomee sheria kwa sababu akimaliza chuo hata asipopata ajira anaweza kufungua ofisi yake ya mwanasheria na akapiga kazi.

Wanabodi, je nmemshaur kitu sahihi? Au kuna kozi zenye pesa nzuri zaid anaweza kusomea?

Halafu je, ni ipi model nzuri ya yeye kusoma? akasome post graduate au akaanze upya kama vile katoka form six?

(Advance kasoma PCB)
Petroleum
 
Back
Top Bottom