Kozi ya Grafix designing ?

Kozi ya Grafix designing ?

Mtized one

Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Habari ndugu,
Naulizia wapi kwa DSM inapatikana the best grafix designing skul na cost zake zikoje?
Pia mode ya masomo ikoje?
 
ngoja tuwasubiri wanaojua hilo...ila kwa kuanzia u nakushauri unaweza anza na beginner's coarses zilizojaa tele online free na ukishaziweza hizo nakuhakkishia hata hizo coarse zilizojaa tele uchochoroni utaziona cha mtoto...labda kwa ajili ya kutafutia cheti tu...ila siku hizi mkuu ni ujanja wako tu kwamba unaitumiaje hiyo fursa unayoipata ukiwa online...sababu kuna coarse nyingine na nyingi ni free kabisa na zipo deep hata kwenye vyuo vingi tu hapa nchini hawafundishi but ndo vitu vinavyotumika sana ...ITS YOUR CHOICE...! aaahm..ngoja tuendelee kuwangoja lakini wanaojua details za vyuo hivyo..!
 
Don Bosco vocation training center.pale st peter ostabay
 
Back
Top Bottom