Kasome basic certificate ya Community development kwenye vyuo vya maendeleo ya jamii vinavyotambuliwa na serikali..then afta that utaweza kuomba Hyo koz ya Education. Hadi sasa vyuo navyovifahamu vinavyopokea wenye sifa hizo ni KLERUUU na Institute of Adult Education Dsm. Pia ili uweze kusoma hyo basic Cert. Ya Community development lazma uwe na Pass 4 form four....kiwango cha D au zaidiNi mpya naskia inawachukua form 4 NTA level4 wenye D4 moja ya chuo kinachotoa coz hyo ni
Zaidi ya hayo yote muda wa application ushapita...labda kama watatoa second chance baada ya selection. Kwa kuongea maelezo yangu ya mwanzo...vyuo vya CD vya serikali vinavyotoa cheti ni kama Ruaha -Iringa, Uyole mbeya....n.k!Natumain mu wazma, naomba mwenye uelewa na koz hyo anisaidie ufafanuzi zaid nahtaji kujiunga pia
IPO!.....imeanza mwaka huuHakuna coz ya ivyo
Hapo ulipo una elimu gani, tukuelekeze! Maana kama una grade 3A, kusoma hiyo DPE ni lazima na una sifa tayar, kama umemaliza form 4 una angalau ufaulu wa point 27 na bora zaidi ya hyo!!!Natumain mu wazma, naomba mwenye uelewa na koz hyo anisaidie ufafanuzi zaid nahtaji kujiunga pia