Kumbe hata vigodoro vimekatazwa duh! Tusiokuwa na Vyumba sijui tutalala wapi sasa
Raia tulichoka na kuanza kusema nao kisela,tulikuwa tukitembea na mikokoteni nasi tunavamia nyumba za tunawaohisi wahuni na kuwapiga mpaka kufa na kuwapakiza katika mikokoteni na kwenda kuwakabidhisha kwenye kituo cha Polisi,hapo ndipo baadhi ya wahuni walipoona imeshakuwa soo na kuamua kukimbilia kusikojulikana na ndio ukawa mwisho wa MARA SALVATRUCHA hao.
Kamanda Kova acha kutunyima raha watu wa Pwani kwa kupiga makrufu ngoma zetu,malizana nao tu hao vijana.
Nalog off
umeona eh!kweli mkubwa!anatukosesha raha ya kiutamaduni.
umeona eh!
Nalog off
komando yoso...! walivuma sana mwaka 1994! na walimalizwa kwa style ya kuwachoma moto! wananchi walichoka wakaamua kuchukua maamuzi mkononi...! ikawa wanakwenda kugonga nyumba moja moja wanauliza vizuri tu "mzee mwanao yupo? akitoka anapigwa tairi...!
Tutakesha jf Mkuu!!
umeona eh!
Nalog off
Jackbauer Kuzuia mchiriku ni sawa na kutoa amri ya "martial law" kwenye utamaduni wa watu husika!
Tutakesha jf Mkuu!!