KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

Uchunguzi ufanyike ipasavyo.

Ila na wazazi/walezi, hakuna free lunch. Hii ikiingia vichwani mwetu kuna mambo mengine tutawaeoushia vizazi vyetu. Turiani shule ya serikali, ada sidhani kama inafika hata laki 3 kwa mwaka, mtoto wa niaka 14 anahongwa 700K na benzi juu?
Kapuya katika vitisho vyake alishasema namnukuu "Sisi ndio serikali,watoto wetu wanauza madawa ya kulevya hakuna wakuwashika" sasa jamani mlitegemea KOVA aseme yeye anaweza kumkamata?Advera Senzo ni mbabaishaji ndio hao walipewa nafasi na haohao kwa kitendo hichohicho tena kwa kulazimishwa kuanzia mafunzoni mpaka leo msemaji wewe unafikiri mpaka uwe msemaji wa Polisi hapa Tanzania ni suala dogo?wenzio hawana midomo au hawajui kuongea?Hapo tujiandae kuwazika hao mabinti kama alivyosema Kapuya...Nchi hii haina Polisi ya Umma ni Genge la Wabakaji na watetea ubakaji.
 
Huyo Kova angekua mwanae ndio kafanyiwa hivyo na huyo bazazi angetoa kauli hizo hizo?

Hivi Kova hana mtoto wa kike naye akapewe mgawo wa Tanesco? hata kwa pesa yoyote mie ntachanga ili nae ajue tunaongea nini
 
Kapuya katika vitisho vyake alishasema namnukuu "Sisi ndio serikali,watoto wetu wanauza madawa ya kulevya hakuna wakuwashika" sasa jamani mlitegemea KOVA aseme yeye anaweza kumkamata?Advera Senzo ni mbabaishaji ndio hao walipewa nafasi na haohao kwa kitendo hichohicho tena kwa kulazimishwa kuanzia mafunzoni mpaka leo msemaji wewe unafikiri mpaka uwe msemaji wa Polisi hapa Tanzania ni suala dogo?wenzio hawana midomo au hawajui kuongea?Hapo tujiandae kuwazika hao mabinti kama alivyosema Kapuya...Nchi hii haina Polisi ya Umma ni Genge la Wabakaji na watetea ubakaji.
Unamnukuu ulikuwa naye wapi kama nawe siyo mmoja wao?
 
Aliyekuwa Rais wa Africa ya Kusini..Nelson Mandela aliwahi sema kuwa hakuna sababu ya kuficha ficha mambo ya Ukimwi na ni pale mtoto wake alipougua Ukimwi,

Sasa kwa kuona kuwa ugonjwa huu unazidi kuwapata viongozi hasa wa CCM na hadi wengine kufa , sasa imefika labda wakati muafaka wa kuwakumbusha hawa wenzetu ndugu na jamaa zao waliokufa kwa Gridi ya Taifa,

1-Maneti - Mjumbe wa NEC
2-Mbunge & Waziri Charles K
3-.....Naomba endelezeni hii list
 
Dah kwa kweli inauma sana yaani mtu abake afu iwe ni ishu yake binafsi!!!......eeh hapa hatuna serikali ksa kweli na cga ajabu xaxa huyu mtu anaweza kugombea ubunge na akashinda kwa kishindo!!!.... Eatz tub adilike jamani c kila kitu mpaka slaa aje atuambie nini cha kufanya kama vp apigwe tuu
 
du! huyu baba ni malaya sijapata kuona. lakini hii ndiyo kawaida ya uzinzi kwa wabunge wa magamba, siwashangai xana malaya hawa!
 
babu miaka 70 katoto ka miaka 14 unakasaulia mavazi - mikosi hii.

Mkuu kwani dushelele ya wababu inatofauti gani na ya vijana ?. Sidhani kama yule mtoto aliona jipya la kumshangaza, isitoshe yeye mwenyewe kapenda kugegedwa maana kafanyiwa mara nyingi tu na huyo babu, tena sio kumshangaa Kapuya kwani vibabu vingi sana ndio tabia hii. Kweli Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana, mpaka leo hii ameacha kutuadhibu na matendo yetu machafu haya
 
Kova pambaff!!!! yaani hata zile msgs za kutishia kuua hataki kuzichunguza? Kitengo chake cha upelelezi kina kazi gani? Kweli huyu kanywa maji ya CCM na yanamlevya kabisa.

Na gari aliyoipeleka na kuitelekeza nyumba kwa watoto wale ilikua ya nini?
Je wafanyakazi wa mahoteli aliyokuwa anambaka huyo mtoto si wapo?
 
its not as simple as you think, ngoma hii ni noma!!

anaweza akaenda na text za kapuya kweli na namba niya kapuya kweli lakini akaambiwa center number iliyotuma hiyo text siyo ya hapa nchini au umesahau yale ya Lema na mkuu wa Arusha? hii nchi ilishaoza zamani sana sasa hivi inanuka tu hivyo tuwe wavumilivu.
 
Umenena Vyema Kamanda Kova. Tanzania Daima sio gazeti la kuamini 100% Mbona Halijatoa hizi habari za Lema kiundani?
??????ila youtube ndo ya kuamini?kama limeandika uongo,sheria zipo, na anayetuhumiwa ana haki zote za msingi kwani BADO HAJAtiwa hatiani!Hakuna cha maana alichonena Kova,kama kawaida yake ameendelea ku-prove ukilaza wake!mbona wananchi wa kawaida,hizo ni taarifa zinazotosha kuwakamata na kuwafungulia mashtaka?au kwa sababu yeye ni mmoja wa wenyenchi?
SIO TU ITENDEKE,BALI HAKI IONEKANE IMETENDEKA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hamna kity hapa...watu wanajua kutoa kapuya Urambo inahitaji mizengwe...so wanapika kila aina...ile mtoto kwenda kulalamika KWENYE gazeti la Chadema basi inatosha kuonesha hapa ni kuchafuana tu
Lema alichafulia ...na amekanusha...na sote tunakubali...ilhali picha zipo wazi kwenye mitandao..lakini wengi tunaamini ni mambo ya kuchafuana
sasa huyo mtoto mbona hasemi katika hio stori yake kama baada ya kuambiwa kwamba Kapuya ana ngoma basi alienda hospitali kupima na kuambiwa ni muathirika? hakuna ambapo anathibitisha kwamba tayari ameambukizwa
pia huyu mtoto anatajwa kwenye hio stori kuwa ni yatima ..jee kisa cha kuwa yatima? jee wazeee wake walikufa?
au alitupwa ? au wamekufa kwa ngoma na wao ?

sidhani kama kuna raha yoyote kutembea na under 15...profesa ana pesa zake akitaka celebrity wetu hakosi....so why afanye hivo? ...nitakubali kama tu atakuwa na matatzo ya ubongo..unao mwathiri kisaikologia...na yeye sidhani kama ana tatizo hilo.

watake radhi celebrity wetu ndugu.
 
Kova kachemka Hilo sio jibu Kabisa wangemwita kituoni ahojiwe basi waseme uchunguzi unaendelea tujue moja sasa namna hii watu watapiga kelele sana
 
Mkuu kwani dushelele ya wababu inatofauti gani na ya vijana ?. Sidhani kama yule mtoto aliona jipya la kumshangaza, isitoshe yeye mwenyewe kapenda kugegedwa maana kafanyiwa mara nyingi tu na huyo babu, tena sio kumshangaa Kapuya kwani vibabu vingi sana ndio tabia hii. Kweli Mungu ana uvumilivu wa hali ya juu sana, mpaka leo hii ameacha kutuadhibu na matendo yetu machafu haya
ngoja binti wako au mdogo wako wa miaka 14 ashughulikiwe then aje home huku anavuja damu sehemu za siri then ujitokeze hadharani useme ni mshedede aliutaka mwenyewe!! hapo nitakusifu.

Kutumia pesa zako na kufanya mambo kama haya ni dhambi kubwa mno, tena unayemfanyika ni binti wa 14 ambaye baba yake na mama yake maskini hawapo duniani - kukuchukulia kama baba / mlezi au mfadhili wake unageuka ghafla ya kumfanyia unyama kama huo - aise binadamu tumeumbwa tofauti kabisa!!

Kama anaona anazingiziwa si aombe press conference na wanahabari ajisafishe - anaogoba nini kukaa mafichoni. Zee zima unabaka kiyatima cha miaka 14 wakati michangu iliyokubuhu imejaa kila kona.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Back
Top Bottom