BongoLogik
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 260
- 44
Nilikuwa namheshimu sana kova sikujua kama ni mpuuzi kiasi hiki, sijui ni kitu gani kilichompelekea kujiingiza kwenye skendo hili! shame on you kova.Sasa kama senior police kama yeye hajui hata mipaka ya kazi yake,je itakuwaje kwa junior police?