Kova anaficha wapi uso baada ya Muro kuachiwa

Mopalmo

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
534
Reaction score
139
wana jf,siku muro alipokamatwa kamanda kova aliongea na waandishi wa habari kwa ukali kuhusu muro baadhi ya maneno akisema,mwandishi wa habari gani huyu mhalifu hiyo bastola na pingu zinahusiana vipi na uandishi wa habari,leo tumekupata kumbe we ni mhalifu mkubwa.ki ukweli alitoa maneno makali ambayo ni sawa na hukumu kwa utuhumiwa,mimi na bro wangu tukajiuliza sana siku ile,kama msomi kova anawezaje kufanya vile je wananchi wa kwaida tuataachaje kuchoma watuhumiwa moto.natamani clip ya ile habar irudiwe
 
Kova anajulikana kama mzee wa media...ila mwisho wake pale pale!!!hapandi tena maana hana jipya wala hikma!alihukumu kabla hata mahakama haijaamua ni aibu sana kukurupukia ushabiki kama ule
 
Du hayo mengine ya kumhusu kova nilikua siyajui,ila kaaibika sana ningepata clip ya ile habari ningeiweka hapa ili wote waione
 
Nyingine hii hapa.

Last edited by a moderator:
Dah!! Masikini Kova, kumbe anamatatizo ya akili.
 
asanteni japo nimeshindwa kuifungua kwenye cm yangu,nitaicheki kwenye laptop badae
 
Kova ni mpuuzi kweli kweli.........yani kama polisi ndo wanafanya kazi kwa style hii.....sijui nisemeje.

Kova anasema hawa ni matapeli sugu hapa mjini, wanaishi kwa utapeli........tayari ameshawahukumu (ina maana anajua watu waliotapeliwa nao na imeshathibitika) then anasema, hatuchunguzi ili kumuonea mtu..........sasa umeshasema ni matapeli, then unasema unachunguza, thenunasema humuonei mtu...........kweli???
 
Mo-palmo(mhunzi) usishangae ya Kova hao ndio polisi wetu wanafanya kama unapomwambia m... pssiii kamata!hivyo hivyo ndio walivyotoka front kwenye TV na bastola ya Dr.Slaa kama vile kumiliki bastola ni jinai!walifikiri kufanya vile unamwongezea kosa watu wamwone ni mhalifu zaidi.
 
wana jf,siku muro alipokamatwa kamanda kova aliongea na waandishi wa habari kwa ukali kuhusu muro baadhi ya maneno akisema,mwandishi wa habari gani huyu mhalifu hiyo bastola na pingu zinahusiana vipi na uandishi wa habari,leo tumekupata kumbe we ni mhalifu mkubwa.ki ukweli alitoa maneno makali ambayo ni sawa na hukumu kwa utuhumiwa,mimi na bro wangu tukajiuliza sana siku ile,kama msomi kova anawezaje kufanya vile je wananchi wa kwaida tuataachaje kuchoma watuhumiwa moto.natamani clip ya ile habar irudiwe

Nakumbuka akawa anasoma na vifungu vya sheria na kutoa adhabu kabisa.
Kova nae anapenda sana promo kuonekana kwenye luninga akiuza chongo
 
Nimemuangalia hapo kwenye youtube ameniudhi sana na makengeza yake kama kondooo!!!
anasoma vifungu, anasema pingu inauhusiano gani na uandishi.........pambaf zake!! akili za kuungaunga
 
Ukishakua Police ur no longer intellectual,ndo maana hata mzee wa police jamii ameshndwa
wana jf,siku muro alipokamatwa kamanda kova aliongea na waandishi wa habari kwa ukali kuhusu muro baadhi ya maneno akisema,mwandishi wa habari gani huyu mhalifu hiyo bastola na pingu zinahusiana vipi na uandishi wa habari,leo tumekupata kumbe we ni mhalifu mkubwa.ki ukweli alitoa maneno makali ambayo ni sawa na hukumu kwa utuhumiwa,mimi na bro wangu tukajiuliza sana siku ile,kama msomi kova anawezaje kufanya vile je wananchi wa kwaida tuataachaje kuchoma watuhumiwa moto.natamani clip ya ile habar irudiwe
 
Ukishangaa ya Jk utaona ya Kova.........................tabu tupu.:msela::msela::msela:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom