Yes, ni mimi EMT. Vipi nafaa kuwa mkwe? Au washaolewa wote?
Hivi huwa Mujahidina huwa wanaandamana? hebu nipashe, wanadai nini? michango ya Mufti au hawamtambui Rais?
Ukiwaona Waislaam wanaandamana siku ya Ijumaa ujuwe kuna mmoja wao kawaalika Biriani, (zamani) wakitoka Manyema wengi wao wanaishia kwa Marehem Bi khadija pale Udoe kwa kina Hussein Yanga, (Muulize Mkandara kama unabisha, mitaa yake hiyo) biriani baba aaaaah, biriani la Bi Khadija. Wislaam huwa hawana upuuzi wa kuandamana kudai kisichojulikana.
Mmoja kaolewa, na sasa nalea kijukuu, mmoja kisha oa, mkewe anajidai "we have to wait", mmoja anasoma huko wanapaitaje sijui, halafu akajidai kunialika kabla ya winter, nikaenda kumokomoa. Na mie sikukaa nikamwambia aaah baba ki winter hiki sikiwezi, huyu nae bado barubaru hajaoa. Hako kengine ndio juzi kameanza chup kikuu huko Dubai. Kalimaliza hapa Al Muntazir, MashAllah kamepiga "A" zote kama maamake. Hako hukawezi, kasomi hako, utaweza kukapikia? kukafulia? kukasafishia nyumba? kama yes, ntakuunganisha nako.
For the avoidance of any doubt mie ni +me. Kwa hiyo hao wa kiume wala sitaki kuwasikia. Kama huyo aliyepiga "A" zote ni -ke, why not. Kama anavyosema Asprin, kinacho matter ni penzi na wala sio elimu, kupika, kuua or kusafisha nyumba.
Kwa kwaaaaaaaa kwa, teh teh teh, Al Shabab wapo wengi sana Tanzania, Wa kwanza Kinana! Halafu Rage, Bashe, na wale wasomali wote mliocheza nao, soma nao, na wale Wazigua Waliopewa hifadhi pale Mkata. Halafu usisahau vijana wote Wa Tanzania, maana ya Al Shabab ni vijana, jee hakuna vijana Tanzania?
Siku hizi Maaskofu wanafanya michango kwa maandamano? kweli sasa naamini sera za magwanda ni za kanisa.
Haswaaa, umenena vyema sana hayo yote haya"matter" kinacho matter ni hiki:
Utayaweza?
Si umeona hapo. na mwenyewe umeweka picha na inakusuta, wanadai kinachotambulika, kinaga ubaga! Unalo?
Mmoja kaolewa, na sasa nalea kijukuu, mmoja kisha oa, mkewe anajidai "we have to wait", mmoja anasoma huko wanapaitaje sijui, halafu akajidai kunialika kabla ya winter, nikaenda kumkomoa. Na mie sikukaa nikamwambia aaah baba ki winter hiki sikiwezi, huyu nae bado barubaru hajaoa. Hako kengine ndio juzi kameanza chuo kikuu huko Dubai. Kalimaliza hapa Al Muntazir, MashAllah kamepiga "A" zote kama mamake. Hako hukawezi, kasomi hako, utaweza kukapikia? kukafulia? kukasafishia nyumba? kama yes, ntakuunganisha nako.
Exactly.
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
Hivi huwa Mujahidina huwa wanaandamana? hebu nipashe, wanadai nini? michango ya Mufti au hawamtambui Rais?
Ukiwaona Waislaam wanaandamana siku ya Ijumaa ujuwe kuna mmoja wao kawaalika Biriani, (zamani) wakitoka Manyema wengi wao wanaishia kwa Marehem Bi khadija pale Udoe kwa kina Hussein Yanga, (Muulize Mkandara kama unabisha, mitaa yake hiyo) biriani baba aaaaah, biriani la Bi Khadija. Wislaam huwa hawana upuuzi wa kuandamana kudai kisichojulikana.
Kwa kwaaaaaaaa kwa, teh teh teh, Al Shabab wapo wengi sana Tanzania, Wa kwanza Kinana! Halafu Rage, Bashe, na wale wasomali wote mliocheza nao, soma nao, na wale Wazigua Waliopewa hifadhi pale Mkata. Halafu usisahau vijana wote Wa Tanzania, maana ya Al Shabab ni vijana, jee hakuna vijana Tanzania?
Siku hizi Maaskofu wanafanya michango kwa maandamano? kweli sasa naamini sera za magwanda ni za kanisa.
Ila nataka nikukumbushe kuwa waislam ndiyo wajuzi wa maswala ya maandamano, tena wakati mwingine hata kwa kesi ya kugombea maiti ya:msela:
Ukiona hivyo wanajua haki zao,haki ni haki hata kama unadai sindano yako iliyoibiwa na mwenzako even if inathamani ndogo kwako but kwako inaweza kuwa inathamani kuliko rupia,usibeze usichokijua ktk kudai haki na kwako unauwezo wa kuthaminisha kipi kidogo na kipi kikubwa,so wrong umeporwa unatakiwa kuidai no matter inathamani gani hiyo ni haki na usawa unaodaiwa kote dunianiIla nataka nikukumbushe kuwa waislam ndiyo wajuzi wa maswala ya maandamano, tena wakati mwingine hata kwa kesi ya kugombea maiti ya:msela:
[h=2]Maandamano !!! Maandamano!!!!! Jumamosi 26/11/2011: Yana Kibali Cha Polisi![/h]Tarehe 26/11/2011 ,Jeshi la polis Limeruhusu Maandamano ya Kuchangia Mradi wa Kutoa sumu na Chuo Cha Maadili Unao Ongozwa na askofu Gammanywa wa Wapo Radio uliopo Mtaa wa Loliondo Kurasini!!!Taarifa kutoka kituoa Cha Wapo Radio zinahamasisha Wananchi kuhudhuria Maandamano hayo ambayo yanalenga kuchangisha 500m. Mtangazaji amesisitiza watu wengi wahudhurie na kwamba mgeni rasimi atakuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye anafungua mradi huo baada ya Rais Jakaya Kikwete kutembelea Mda mfupi baada ya kusimikwa urais. Jambo la kushangaza Jeshi la polis limepinga marufuku maandamano ya Kupinga Mswaada jumamosi kwa sababu za Al shababu lakini wameruhusu maandamano kwa Askofu Gammanywa wa Loliondo