Kota Moja yaungua Moto magomeni

Kota Moja yaungua Moto magomeni

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,623
Reaction score
40,182
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza muda huu moto unawaka ktk hizo kotas

Baadhi ya sehemu ya jengo hilo ndio linaugua moto.



Updates.

Mali zote zimeonekana kuteketea katikaApartment namba 0526B ndiyo sehemu ya ghofofa lililowaka moto Magomeni Kota jijini Dar Es Salaam.

Apartment hiyo ipo Block 4 wing B ghorofa ya saba inadaiwa chanzo cha moto ni mtoto kuchoma godoro.

Aidha mtoto mdogo wa miaka mitatu anahofiwa kufariki kwa kuungua na moto katika janga hilo.
 
Faya iko hapo mdomoni tu unakuta hadi jengo linamalizika kufungua ndiyo unawaona na gari lao ,makele na mbwembwe nyingi. Ndiyo maana wanapigwaga nawe na wananchi.
 
Back
Top Bottom