Kosa tulilolifanya CCM lisitokee tena, ni fedheha

Utawala wa kishetani kabisa kuwahi kutokea
Hata Mitume na manabii hawavuki kirahisi katika nchi zao,na walipewa majina hayo hayo ya kishetani waliitwa wachawi lakini walitoboa.
Sasa hizo juhudi za hivi vyama vya kiuyoga uyoga vinavyoibuka unapokaribia uchaguzi vinakuwa vingi aisee vinatushangaza sana,halafu vinatoweka,kama hivi sasa tiyari vimeanza kupotea.

Wadau kama mnanisoma kosa tusilirudie tuliepuke na mbona inawzekana,maji ya washawasha na mabomu ya pilipili ,tungeliepuka hizi presha walizonazo vihio, kama yasingedhihirika wangelikuwa saa hizi wameshika tama na kuduwaa ,wakitafuta mchawi.
 
Roho za kichawi na roho mbaya ziliwazidi kuiba Hadi wakaharibu nadhani waliotoa ushauri wa kuiba kiujinga hivi walikuwa washamba kupitiliza, ushindi umekuwa Hadi aibu aisee
 
Roho za kichawi na roho mbaya ziliwazidi kuiba Hadi wakaharibu nadhani waliotoa ushauri wa kuiba kiujinga hivi walikuwa washamba kupitiliza, ushindi umekuwa Hadi aibu aisee
hapana labda huelewi tulichokifanya,mambo yote yamekwenda kama yalivyopangwa ,kilichotuharibia ni jamaa wa waliofanikisha Zanzibar wao walikuwa na jazba kubwa sana iliyowapelekea kuharibu kila kitu na kuwacha uchi.maana ukiuwa lazima yatakuwepo matanga ,ukiuliza unaambiwa kapigwa risasi na unaonyeshwa mpaka ilipoingia risasi na spitali aliyopelekwa,baya zaidi kapigwa risasi akiwa yupo nje ya nyumba yake amekaa.

Unakuta uchaguzi umeisha ile kasi ya juhudi za ushindi bado ipo ,wanaua tena nini jamaa na gari la punda anachota mchanga uliokusanyika baada ya mvua,ukiangali ni kiongozi wa sijui katibu wa chama tulichokishinda vibaya sana,sasa sisi tunaoanza kutamba mambo haya yanatupa mtihani japo tunauvuka lakini ni dosari mbaya inatuvurugia mishe mishe za kujitangaza kwa kujilabu, ilikwa baada ya kutangazwa tu ushindi wetu,wadau walikuwa wazamie kama hawakuwepo na kila kitu shwari, tungeshughulikia mihemko ya wanaotaka kufanya maandamano na tayari walishatishika. Tukaona hakuna aliendamana waliojaribu tuliwafukuza na moshi ,si unaelewa unaporina asali ,moshi unatosha kuwafukuza nyuki na sio mauaji kama wazenji.
 
Wadau hasa wale wa Chama chetu cha CCM ,tukubali na tuseme ukweli Uchaguzi umeisha,kuna kitu kimoja kimetuharibia Uchaguzi huu na kuwaweka viongozi wakuu katika wakati mgumu,japo tunajikaza kisabuni...
Damu za mliowaua zinawalilia hazitapotea bure maccm hata mfanyeje . Kwani wale wahutu mliowakodi toka Burundi mkawslipa bilioni kumi mkawavalisha sare za naniliu mkawapeleka Zanzibar mliwapa kazi gani ? Si ndio wametekeleza .
 
hapana labda huelewi tulichokifanya,mambo yote yamekwenda kama yalivyopangwa ,kilichotuharibia ni jamaa wa waliofanikisha Zanzibar wao walikuwa na jazba kubwa sana iliyowapelekea kuharibu kila kitu na kuwacha uchi.maana ukiuwa lazima yatakuwepo matanga ,ukiuliza unaambiwa kapigwa risasi na unaonyeshwa mpaka ilipoingia risasi na spitali aliyopelekwa,baya zaidi kapigwa risasi akiwa yupo nje ya nyumba yake amekaa...
CCM huwa hamna aibu Wala kukua kiakili licha ya kutawala nchi hii miaka zaidi ya hamsini mumeshindwa kuitoa nchi kwenye tope la umaskini, Bora ccm ya Nyerere ilikuwa na wazalendo na waheshimu haki tofauti na Sasa kazi imebaki kuua raia na kushindwa kuheshimu hata katiba.
 
08:34
Monday, 23 November 2020 (GMT+1)
Time in The Hague, Netherlands
 
Tatizo wapinzani upepo mnashindana na propaganda za uchaguzi...
Nikupe mfano wa kituo kimoja tu ambacho mgombea urais wa kwa tiket ya Chadema alipata kura 29 lakini chakushangaza matokeo yalipotoka kwenye jimbo walisema kapata kura 2., mifano iko hivyo kila mahali nchi nzima, ata kina Lipumba ameona hii hali ata ccm wenyewe mara kadhaa wanasikika wakisema "kwa ushindi kama huu hauna raha hata kidogo tunashindwa kufurahi kwa kilichofanyika"

Wanamaanisha kwamba ndugu zao wameuliwa kwa risasi na wengine kuteswa hadi sasa ndani lakini jengine baya zaidi matokeo ya uchaguzi ccm walipika kabla kwenye makaratasi yao ndio waliyokuwa wakitangaza hawakuchukua matokeo ya kura ata kituo kimoja.

Angalia, Kama kweli ccm ndio wameshinda kiasiki kwanini mpaka leo kina polepole na wenzake hawajainua mdomo wao, kule pemba jamaa 1 alipigwa risasi katika tawi lao walikuwa wanacheza ngoma kushangiria ushindi walipita wale waliojifunika nyuso zao kutoka burundi wakawambia tawanyikeni wakakaidi mmoja akapgwa risasi hadi leo yupo hospitali sasa kama mumeshinda kwa demokrasia ccm tunayoijuwa miaka nenda miaka rudi kwanini mnashindwa kufurahi basi na ushindi wa kishindo? "Funika kombe mwanaharamu apite" Kwani hujamsikia ata mkuu wenu aliwambia wabunge karibuni "Ubunge nimekupeni mimi". unafkiri nini tena., ccm imekujaa ata nyeupe utaendelea kusema bado ni nyeusi.
 
Wadau hasa wale wa Chama chetu cha CCM ,tukubali na tuseme ukweli Uchaguzi umeisha,kuna kitu kimoja kimetuharibia Uchaguzi huu na kuwaweka viongozi wakuu katika wakati mgumu,japo tunajikaza kisabuni...
Kwa ulichokindika tu hapa na hasa hasa Flow yako inahitaji Mtu kuwa na Akili ya kama Mwendawazimu vile Kuamini kuwa Wewe ni 100% CCM Fan.
 
Nikupe mfano wa kituo kimoja tu ambacho mgombea urais wa kwa tiket ya Chadema alipata kura 29 lakini chakushangaza matokeo yalipotoka kwenye jimbo walisema kapata kura 2., mifano iko hivyo kila mahali nchi nzima, ata kina Lipumba ameona hii hali ata ccm wenyewe mara kadhaa wanasikika wakisema "kwa ushindi kama huu hauna raha hata kidogo tunashindwa kufurahi kwa kilichofanyika"

Wanamaanisha kwamba ndugu zao wameuliwa kwa risasi na wengine kuteswa hadi sasa ndani lakini jengine baya zaidi matokeo ya uchaguzi ccm walipika kabla kwenye makaratasi yao ndio waliyokuwa wakitangaza hawakuchukua matokeo ya kura ata kituo kimoja.
Ninachokiongelea hapa ni uharibifu wa ushindi wetu na sio nani kapata kura ngapi,hizo za kura sisi wala hazitupi shida kwani ndio moja ya mikakati ,hatuna wakati na nani kapata before na after,hesabu zetu zilikuwa zipo fixed ,na tulivyopanga turuke na ushindi Bwana yesu asifiwe ushindi tumeruka nao ,mapema tu vyama vya vinayoota kama uyoga vikabwaga manyanga.

Kilichokorofisha ushindi wetu ni namna tuliowakabidhi ulinzi jinsi walivyoshiriki wao kwao ilikuwa kama vita wakati sivyo ilivyotakiwa,impango ni kutisha vitisho vya hali ya juu,sijui kama mliona kuna mikoa madefender yakipiga round ,vikosi vikiparedika majiani wakiwa wamebeba silaa ,hata kule Zanzibar tulishusha magari ya deraya mauyoga wanaviita vifaru au mizinga,mchana kweupe kila mtu anaona na watu walitishika na walio wengi hawakutoka wala kuchungulia madirishani.

Nini kimetokea hata ikafika kuwatandika watu waya za migongo na wengine kusemekana wamepigwa risasi au wanaofikishwa kituoni kuchezea kichapo,kuna sintofahamu imetokea,yaani kimipango hata wale waliochukuliwa vituoni walikuwa wanahifadhiwa na kutunzwa kwa ubwabwa na nyama,yakitoka matokeo tu wanarudishwa makwao,

Matokeo yametoka tumeibuka videdea kila pembe ya Tanzania kilichotuharibia na kutunyima furaha ni vitendo ambavyo vilikuwa visitokee ili kuhalalisha ushindi wetu bila ya mavunde mavunde ya matokeo ya kuumizwa mtu. Sasa tunatibu japo ni kazi nzito mpaka kukaa sawa.
 
Isingewezekana mulichofanya ndio mana mumefanikiwa kwa kiwango hicho.
 
Utawala wa kishetani kabisa kuwahi kutokea
Namshxangaa hata mleta maada kwa kusifia ushindi ulopatikana kibabe!!!!
Magufuli na Timu yake Wameshinda kwa kura za wizi halafu wanajipongeza kwa lipi???Mungu anawaona. Mbona ni swala la muda tu!!
 
Mwafrika bado hajaweza kujiongoza kwa mujibu wa mfumo ambao originally umeundwa na mzungu. Katika nchi 54 za Afrika, nchi unazoweza kusema kuna uchaguzi huru na wa haki......hazifiki tano!
Ifikie hatua tuanze kufikiria mfumo ambao utaendana nasi........
 
Itafika wakati mtabakia kupiga kura CCM wenyewe. Mbinu zenu zinafanikiwa. Kama wanajiandikisha 29m wanapika kura nusu yake. Hesabu za haraka zinaniambia kuwa wale nusu ya kwanza ambao hawajapiga kura hawaitaki CCM au hawaoni tofauti ya kuwepo CCM na kutokuwepo kwake.

Wananchi waliobakia 50% waliopiga kura ndio mnagombaniana na upinzani. Tukiendelea hivi watakuwa wanapiga kura wana CCM tu peke yao na uchaguzi utapoteza maana.
 
Back
Top Bottom