BasilSawewe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 451
- 211
Mtoa mada mbona kadadavua vizuri sana?Sidhani kama alikuwa na nia njema,kwa sababu angetumia weledi wake kudhibiti mwenendo wa mahojiano na mgeni wake.Sisi kama watazamaji tunabaki na chaguo moja tu,kuamini kuwa Zamaladi alilenga kutetea haki za mashoga.
Ndugu yangu binadamu site tunamapungufu. Saazingine tukitarajia kujenga, kumbe tunabomoa. Hugo Dada tusimuhukumu kama mhamasishaji,Bali akili zetu zimuone kama muelimishaji.Ujuenini! Sisi binadamu wengi wetu ni wanafiki wa kutupwa! Unamkuta mtu analaani kitendo flan wakati kumbe yeye mwenyewe ni muumini mkubwa wa mambo hayo. Mwizi hapendi mwizi mwenzie,mzinzi hapendi mzinzi mwenzie nk nk. Ni ubinafsi tu.
Kosa lolote liwalo hapa duniani likiombewa msamaha halinabudi kusamehewa. Maana hata MwenyeziMungu husamehe kwa wanaojuta na kutubu.