Kosa moja kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kumteua Samia kuwa mgombea Mwenza

Yeye hajipimiii kama wale mawaziri, bali anachota tu kwenda kuijenga janji-bar.......hadi pafanane na dubai Tanganyika itakuwa imelemewa na mzigo wa madeni na tutachakaa kweri kweri.....
Zanzibar inakuumeni sana.
FYI Its our turn.
 
Wakati wewe unasema maoni yako kuna watu wanapanga kinachotaka kutokea miaka 20 mbele wanaamua wanafanya na kinatokea hivyo mawazo yako yatambue kuna maisha na bahati

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Kwa Tanzania hamna kitu kama hicho. Watu ufikiria tu ya wakati matumbo yao. Watu hawajali future kabisa. Tunaishi kimungu Mungu nna kubahatisha na matukio ya wakati huo
 
Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.

Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.

Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.

Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi

JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?

Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
Kama CCM wangemteua Samia kuwa mgombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.

Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.

Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme. Likasimamisha miradi yote aliyoanzisha JK. Rot in Hell Magufuli
 
Magufuli alimuona Samia ni bora zaidi ya huyo Mwinyi wako, Vumilia Chief miaka 9 kutoka sasa ndiyo mnaweza kuweka wahuni wenzako, sasa tunachapa kazi
 
Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.

Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.

Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.

Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi

JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?

Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
Toka mama aingie madarakani hakuna aliyetekwa wala matajiri kuibiwa fedha zao na kuzibwa midogo, wala viongozi wa upinzani kununuliwa kisiasa na kupewa mapesa ambayo hazijulikani zinatoka katika bajeti gani, hakuna mtu duka la kubadilisha fedha za kigeni amevunjiwa na hela zake kuchukuliwa kwa nguvu, hakuna makesi ya kubambika wala watu kupimwa vinasaba kuhusu uraia wao., wala mama hajakuwa na mpango kutumia fedha za walipa kodi za watanzania kujijengea uwanja wa ndege kule kwao makunduchi, lakini mama hatutegemei kwenda kukodi wanajeshi burundi kuwapeleka kwao zanzibar siku za uchaguzi na kuuwa wazanzibari

Kuna chuki zimeanza kuanzishwa humu jf kuhusu mama lakini its good for nothing, kiongozi wenu ambaye ni magufulication mkuu tayari yuko kongwa nyinyi ni kama vidagaa dagaa tu.,

Mnaumia sana lakini ndio hakuna namna mama lazima aongoze hii miaka iliyobaki lakini 2025 ndio atagombea tena bila kupingwa na rais wa JMT miaka 5 ijayo ndani ya ardhi ya Tanganyika Mungu akipenda.,

Mliongoza JMT miaka 60 iliyopita bado ni njaa tupu, sasa ni zamu ya mama kubadilisha maisha ya Watanganyika, viongozi wenu waliopita wote walifeli, tumshike mkono mama kazi endelee.

Zanzibar mulimpeleka mtu wa Mkuranga kuwatawala Wazanzibari lakini wazanzibari wamemuunga mkono pamoja na kwamba mpaka leo hakuna maendeleo yoyote aliyoleta, kwanini muumie mama kukaa madarakani kwa miezi 9 tu sasa., tunasema kwamba "Mama is there to stay.,"

Katiba yenu mbovu pia inasema Rais JMT atakuwa kwa zamu Mkitoa rais Makamu atoke Zanzibar, Rais akitoka Zanzibar makamu atobe uchogoni., miaka yote hiyo Rais anatoka huko Zanzibar mnampa Makamu mara hii ndio inakuwa nongwa kutoka Zanzibar?? Vunjeni Muungano basi mtizame kama wale Watanganyika walioko kule Pemba ambao wamepewa mashamba ya kulima viazi vitamu mtakuwa na cha kufanya wakirudi Tanganyika.
 
Acha wivu wa kike,ulitaka akuchague ww???
Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.

Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.

Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.

Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi

JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?

Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
 
Kwangu mimi kosa kubwa la jembe toka Chato ni kutaka Tanzania nzima iwe ya kijani.
Kiukweli sio mpenzi wa namna alivoendesha nchi lakini kuna mengi tu kama taifa ametuachia mazuri mengi na mabaya .Hapa ndo alianza kutengeneza kifo chake maadui wengi walitoka ndani na alivyoruhusu watoto zake watukane wakubwa wenzake wanamchekea tu kushtuka kumekucha!!!
 
Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.

Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.

Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.

Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi

JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?

Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
Kipindi Cha huyo unaemsifia muda huu ingekuwa umetekwa upo kwenye kiroba. Ben Sanane aliuwawa sababu ya kutokubaliana na uelewa wa marehemu.

Kuishi miaka mingi ni baraka za wazazi, tabia za marehemu Zina reflect hayo. Alikuwa na laana za wazazi. Yeye Kila mtu alikuwa adui.
 
Kosa kubwa kabisa lilikuwa ni CCM kumchagua Magufuli kuwa mgombea wao.
 
Kipindi Cha huyo unaemsifia muda huu ingekuwa umetekwa upo kwenye kiroba. Ben Sanane aliuwawa sababu ya kutokubaliana na uelewa wa marehemu.

Kuishi miaka mingi ni baraka za wazazi, tabia za marehemu Zina reflect hayo. Alikuwa na laana za wazazi. Yeye Kila mtu alikuwa adui.
Mkuu Magufuli kafariki akiwa na miaka 61 ila wengine wanazaliwa leo kesho wanafariki hiyo laana ya wazazi wameitoa wap?
 
Back
Top Bottom