Kosa moja kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kumteua Samia kuwa mgombea Mwenza

Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.

Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.

Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.

Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi

JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?

Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
2025 ni Samia Suluhu wenye wivu mjinyonge.
 
Asingeweza kufanya upuuzi ule na bado Mbingu zikamruhusu aendelee kunajisi Madhabahu Kwa kulitaja bure jina la Mwenyezi Mungu. Kosa kubwa ni kutenda dhambi ya dhuluma halafu unaapa Kwa Mungu kuhalalisha dhambi.
Hakujifunza kwa M7 na Kagame wao wameamua kuwa ndugu zake shetani moja kwa moja bila unafiki.
 
... huwa napata tabu sana kuhusu kinachoitwa "falsafa" ya "Magulification"; au neno falsafa limebadilika maana siku hizi? Kwa taarifa yako Prof. Lumumba alikuwa mshauri binafsi wa Magufuli na alikuwa hashauri bure; he was being paid a lot. Mapambio tu hayo; za kuambiwa changanya na zako.
Kumbe alikuwa analipwa?
 
Kwa hiyo bora Mwinyi kuliko Samia...? Unayaona yanayoendelea Zanzibar kuna lipi la kujifunza..? Zanzibar kwa sasa imepoteza dira kuliko awamu yeyote iliyopita.
Mwinyi huyu huyu aliyechaguliwa 2020 oktoba kwa uchaguzi mbili ya tar 27 na 28??
Labda kama ni Mwinyi wa kenya.
 
... huwa napata tabu sana kuhusu kinachoitwa "falsafa" ya "Magulification"; au neno falsafa limebadilika maana siku hizi? Kwa taarifa yako Prof. Lumumba alikuwa mshauri binafsi wa Magufuli na alikuwa hashauri bure; he was being paid a lot. Mapambio tu hayo; za kuambiwa changanya na zako.
Hebu tumlipe na saa hivi aendelee kutupamba bwana Prof lumumba mana mapambio ya kigogo2014 na mange kimambi kitaa yamegoma kabisa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mwinyi huyu huyu aliyechaguliwa 2020 oktoba kwa uchaguzi mbili ya tar 27 na 28??
Labda kama ni Mwinyi wa kenya.
Ndio Mkuu Mwinyi huyu huyu wa Octoba 2020 bado hajamaliza kuunda serikali yake huko visiwani mwaka wa pili huu
 
Mwinyi huyu huyu aliyechaguliwa 2020 oktoba kwa uchaguzi mbili ya tar 27 na 28??
Labda kama ni Mwinyi wa kenya.
Mwinyi wa uchumi wa bluu ambaye yeye mwenyewe hajui ni rangi ya bluu atapata wapi?? Ameishia kuuza visiwa vidogo vidogo tu
 
Et 2025 atamuomba kura nani yaan hata 2025 CCM wawekee jani vyama vingine viweke wagombea Jani la CCM litashinda
 
Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.

Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.

Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.

Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi

JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?

Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
Mlaumu Makonda ndiye alinza kumpigia chapuo mama kwenye bunge la Katiba
 
Wewe jamaa unachekesha kwani unadhani CCM wanategemea kura zetu ili kua madarakani? Ni mjinga pekee atakayedhani CCM wanategemea kura zetu kusalia madarakani.
Tena wanambinu 100,wameshatumia 3 tu.
1.Huwa wanatumia umasikini wetu.
2.Huwa wanatumia unyonge wetu wakiiba kura.
3.Huwa wanatuaminisha kuwa nje ya CCM nchi itaingia vitani,huku wao vita yakuiba wakiwa wamehalalisha.
 
Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.

Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.

Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.

Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi

JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?

Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
Kwa ajili ya uroho wa madaraka mkataka attention ya wanawake! Pambanen na strength of the woman
 
Leo mtaongea sana watetezi wa jiwe ila ukwel ndo uwo ushasema na Mh Raisi na nadhani sasa zle lawama za kumlaumu kua alishilikiana na Jiwe kutesa watu nadhani sasa ameiondoa
Jiwe alkua jeshi la mtu mmoja asiye taka ushauri wa mtu SSH alkua mtazamaji ktk serikal ya jiwe
 
Back
Top Bottom