White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,019
- 1,149
Alimchagua au alichguliwa? Anyways ni bora Samia mara mia kuliko huyo hayati wenu
Jiwe hajawahi kukosea kituAsalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.
Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.
Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.
Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi
JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?
Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
Tunapigwa miamala kila kona halafu mjinga mjinga hivi anakuja kuzikwapua kiurahisi halafu tuipende nchi kisa msimazi ni dahifu .kupenda nchi ni pamoja na kutocumilia ujinga ujingaKama humpendi Samia penda nchi yako inatosha
Kwa hiyo kwa akili yako unaamani JPM ndo alimteua Samia?Hujui mambo ya utawala wa nchi acha kulopoka.Asalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.
Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.
Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.
Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi
JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?
Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
... huwa napata tabu sana kuhusu kinachoitwa "falsafa" ya "Magulification"; au neno falsafa limebadilika maana siku hizi? Kwa taarifa yako Prof. Lumumba alikuwa mshauri binafsi wa Magufuli na alikuwa hashauri bure; he was being paid a lot. Mapambio tu hayo; za kuambiwa changanya na zako.
Nakazia na kusisitiza vilevileKama CCM wangemteua Samia kuwa mgombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.
Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.
Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme. Likasimamisha miradi yote aliyoanzisha JK. Rot in Hell Magufuli
Ktk nchi hii kura nyingi zipo kwa wanawake, kingine tukumbuke kwamba hadi sasa Rais wa JMT hapatikani kwa sanduku la Kura, labda ije ipatikane katiba mpya na tume huruAsalaam Alyekum
Tumsifu Yesu Kristu.
Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa Tanzania nitaanza na John Joseph Magufuli.
Mwaka 2015 mara baada ya kushinda kuwa ndiye mgombea wa Chama cha Mapinduzi yalipendekezwa majina 2 ya wagombea wenza yaani CC ndiyo ilipitisha watu wawili ili Hayati John achague kati ya mmoja wao nani awe mgombea mwenza.
Majina hayo yalikuwa ni
1. Mh. Samia Suluhu Hassan
2. Mh. Husen Ally Mwinyi
JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini kwa huyu katuachia kidonda kwakweli, labda aliwaza Mwinyi aje kuwa Rais?
Sijui lakini kwa matukio yanayoendelea hapa nchini hata sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
... taratibu mapambio yanapungua very soon hutayasikia tena! Kama yuko serious aandike vitabu kuhusu hiyo falsafa aliyokuwa anaipigia chapuo ili iwe adopted japo EA potelea mbali Afrika.Kama alikuwa analipwa sasahivi anamlipa nani kwa kueleza umahiri wa hayati magu katika uongozi wake.
Ajira bwelele zipi?! Umesahau aliyoyaongea Zanzibar kuhusu ajira?! Anasema vijana wachangamkie fursa wajiajiri how? Bila kujengewa mazingira ya kujiajiri?Samia anakubalika Sana na wasomi na graduates pia vijana maana sasa hivi ajira bwerere kitu ambacho JPM alikipiga marufuku. Alitaka wote wawe machinga despite education level
Je Magufuli aliwapanga hao machinga ndani ya miji na majiji? Au unamsubiri afufuke ndiyo awapange??JPM alitaka wamachinga wapangwe vizuri ndani ya miji ili nao wafanye biashara, ukubali ukatae ujasiriamali ndo ajira zenyewe.
Ajira bwerere inaenda sambamba na wawekezaji kuongezeka Mana hao ndo wanaotoa ajira. Mabank Sasa hivi yanatengeneza faida hivyo lazima yaajiri kulingana na expansion ya bussioness. Kipindi Cha jpm wawekezaji potential wote walikimbia nchi sasa hizoajira zingetoka wapia zaidi yakusisitiza umachinga tu!Ajira bwelele zipi?! Umesahau aliyoyaongea Zanzibar kuhusu ajira?! Anasema vijana wachangamkie fursa wajiajiri how? Bila kujengewa mazingira ya kujiajiri?
JPM alikuwa na lengo la kuwalea wajasiriamali wadogo ili wakuze mitaji yao na kuwa wafanyabiashara wakubwa baadae.
Suala la kuwapanga wajasiriamali ni jema lakini kilichofanyika ni kuwafukuza mjini kabla hawajawaandalia maeneo mahususi ya kufanyia biashara. Wengi wao wamepelekwa katika maeneo yasiyokuwa na mkusanyiko wa watu, unategemea watafanyaje biashara? Kwa sababu biashara ya machinga inafuata mkusanyiko wa watu, mtu anayenunua bidhaa kwa machinga anakuwa hajakusudia kununua (impulse buying). Huwezi kuwatenga wamachinga nje ya mji then utegemee kuwa wanunuzi watawafuata huko waliko.
JPM alitaka wamachinga wapangwe vizuri ndani ya miji ili nao wafanye biashara, ukubali ukatae ujasiriamali ndo ajira zenyewe.
Vyeo ni kama kijiti,,, kazi iendelee,,Pole sana kwa kuumizwa na mama ila hata sisi tuliumizwa na magu sana! Kupokezana kupo sana! Mama kanyaga twende tumechelewaaaa!!!
Msijidanganye, zitawatokea tu kwenye yale matundu aliyosema Magu.......time will tell, hizo pesa mtazilipa wenyewe kwa jasho na damu.......nyakati za kula kwa ubwete ushapita yaheeee...Zanzibar inakuumeni sana.
FYI Its our turn.
Mkuu Mpinzire, kumbe wewe hukijui kitu kinachoitwa mpango wa Mungu !. Samia ni mpango wa Mungu!, hivyo hata JPM hakujua kwanini alimchagua Samia, ni Mungu mwenyewe ndiye alipanga kila kitu, na baada ya JPM kukamilisha Mungu alichompangia, Mungu akamuita kwake kwa kuchukua na kutuletea Samia.JPM hatimae akamchagua Mh Samia kuwa mgombea mwenza na hili ndilo ambalo alilikosea licha ya kuwa namkubali lakini Sijui 2025 ataenda kumuomba nani kura.
Ndoto za mchana hizi.Msijidanganye, zitawatokea tu kwenye yale matundu aliyosema Magu.......time will tell, hizo pesa mtazilipa wenyewe kwa jasho na damu.......nyakati za kula kwa ubwete ushapita yaheeee...