sijakupata vizuri ina maana ulikuwa unajua kuwa huyo bf wako alikuwa na demu mwingine eeeh?
Kwa nini marafiki zako ndio wanalalamika. Kwani huyo kaka amelalamika kwa kuachwa bila kuambiwa kosa?
Kwa nini marafiki zako ndio wanalalamika. Kwani huyo kaka amelalamika kwa kuachwa bila kuambiwa kosa?
inawezekana mashosti wameona ofa zinaota mbawa
sasa drama zote za babe this babe that c kila mwanamke anazipata? Maana hadi cku ya mwisho mapenzi kedekede ndo yakatokea yakutokeahuyo alikuwa hakutaki so akaamua kukufanyia vituko ili uondoke mwenyewe. He doesn't love.
No lie..hata humu kuna waheshimiwa ni wataalam wa kuua ndege wawili kwa nati moja..amekaa na mamaa huku anachat na babe wake wa kigamboni huku anasubiri jibu la wa keko..dada ndo unatulia kifuani huko mwenzako anahaidiwa ndoa..dada zangu muwe makini kujiachia achia tu kwa mtu ukafanya na investment ni jambo la kuwa makini sana..saa tano usiku mtu anapokea simu..hujiulizi ya nani na kwann kapiga mda huo zaidi tu atajibaraguza ah huyu sister wangu wa chuo msumbusu sana c unajua tena chuo na dada hapo ndo unachanua meno yote nje.we learn frm mistakes
Labda km wa kupita
Lkn km mpenzi wako atatafuta means ya kupokea hyo cm, cyo mbele yangu sa 5 ucku
Aisee kumbe ubabe somtym ubasaidia
Huyu mdada aliachagwa kitambo ila sema alikuwa mvumilivu ila hatua aliyofikia ulifanya jambo la busara kulitalaka:
Then Christine mbona like nyingi ama na we ishakutokea kitu kama hyo.
Huyu mdada aliachagwa kitambo ila sema alikuwa mvumilivu ila hatua aliyofikia ulifanya jambo la busara kulitalaka:
Then Christine mbona like nyingi ama na we ishakutokea kitu kama hyo.
Kosa lako umetupa upande mmoja tu wa habari.
Mwambie na yeye naye aje kutupa upande wake.
Yaani ni vituko maana nlishawahi kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanidanganya sana na kuona nimeanza kumuhisi akawa ananipeti sana ila nlikuwa natafuta sababu ya kuondoka kistaarabu tu maana nlishaona napoteza muda tu. Hiyo siku anaongea na simu alijua sielewi kinachoendelea.ila na mm nikome kuwa mpole
inaonekana marafiki zako walikuwa wanafaidika juu ya penzi lenu..[/QUOTEhakuna hata wa kufaidika
af c ndo wewe mentor uliefumaniwa na mkurya akakuchana mapanga..vp unaendeleaje?
Ahahah sasa umeona unipige na hili sio..poa! Nshapona mamii...