Kosa langu ni lipi?

Kosa langu ni lipi?

Akili za mbayuwayu nazoo..! sasa fanya hivi mkuu we mrudie halafu siku akirudia kukuvunjia heshima ndo umweleze afu tambaa zako hapo utakuwa umeridhika naamini
hahahaa..we ndo muhusika nn?nikikurudia naondoka na kibabu chako
 
There is this guy i once called a boyfriend..yaani it was hectic coz i tried to be that good girlfriend kumuheshimu and all that ila at the end ni vituko! Mi nkaona isiwe tabu tho at first nlijitahidi nivumilie but sitasahau siku yule kiumbe anaongea na mwanamke wake in my presence nikasema hata kama ni kutulia hapa nimechemka mwenyewe jamani si kuvunjiana heshima huku!tena anamwambia ni jinsi gani alivo na nyege. Uwiii mwanamke nikajikaza mie ila habari ndo ikaishia hapo sijataka mawasiliano ya aina yoyote ila rafiki zangu wanashauri haikuwa vyema kumuacha bila kumwambia kosa ndo najiuliza hivi kweli katika upuuzi kama huo mtu mzima na ndevu zake asijue kosa lake?

tumia lugha moja ili ueleweke
 
sijakupata vizuri ina maana ulikuwa unajua kuwa huyo bf wako alikuwa na demu mwingine eeeh?
 
Back
Top Bottom