Kosa langu ni lipi?

Kosa langu ni lipi?

anaongea na mwanamke wake afu we upo apo na kukaa kimya////
you sound like a side chick mbona...so hujaachwa,,,umewekwa pending ,,were you belong i guess:faint2:

unataka nieleze na timbwili lililotokea? Mtu anapotaka kujifanta saint kwako its obvy atakuwa na drama za kutosha si lazima atumie baby hny so hakudhani km ntaelewa
 
Achana nae huyo hajiheshimu na anakuchukulia poa!!tafuta mwingine
 
anaongea na mwanamke wake afu we upo apo na kukaa kimya////
you sound like a side chick mbona...so hujaachwa,,,umewekwa pending ,,were you belong i guess:faint2:

Tobaaaaa
 
natamani ningejua jinsia yako..km ni mwanaume wakuitaje zaidi ya failure kwa kukaa na mwanamke hadi mnaachana hujamvua pichu..na km ni mwanamke..umesharudi kutafuna ma mbupu mangapi uliyoyaacha kitambo?

Ok. U should mentioned that before.......basi chapa mwendo asikuumize kichwa......kama vipi tafuta mgreatthinker mmoja akutoe stress...pole sana. Mimi ni mwanaume.
 
hahaaahaa..mi ndo maana naipenda sana jamii forum..full vituko yani naona mentor umeanza kujinadi kumbe ww ni mr.right ee?haya hongera
 
Back
Top Bottom