oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
habari zenu,jamani naomba mnisaide hapa,nina my best frnd tumekua wote yani,sasa hapo katikati nilikua na misunderstandings na my boyfrnd,tulivo solve akaniambia kua huyo best na yeye walikua na deep chartngs yani beyond the shemeji chart
mm nikamwambia kua amwambie wastop n that mm nimejua,basi akamwambia,na mimi nilimchukia sana my friend kua why kanifanyia hayo yote?kwaio sikuwasiliana nae km mwezi hivi,sasa juzi nilimtxt kumsalimia na kumwambia kua tuache conflict za kijinga,and that am okey now,ndipo
akaanza kunishangaa kua kuna nini?mimi nikamweleza yale yote nilioambiwa,akabaki anashangaa na akasema atamcol huyo my boyfrnd,sasa leo kamcol wakaongea huko,nashangaa my boyfrnd ananipigia kuaniambia its over na kwamba mimi simuheshimu,sasa i dont know wat to do kwakweli