Kosa la ponda ni lipi?

Ponda anaonewa, anachofanya Ponda kuchochea udini na kuwagawa Watanzania ni kinyume cha sheria lakini Islamist clerics wanayafanya haya kiiiiiila siku na hakuna anaekamatwa, sasa kwa nini leo Ponda?
 
Ponda anaonewa, anachofanya Ponda kuchochea udini na kuwagawa Watanzania ni kinyume cha sheria lakini Islamist clerics wanayafanya haya kiiiiiila siku na hakuna anaekamatwa, sasa kwa nini leo Ponda?

wameanza na ponda kwanza,wengine watafuata
 
si vizuri kuzungumzia jambo ambalo tayari lipo mahakamani,mahakama ndio itaprove whether Ponda is guilt or otherwise.nina imani haki itatendeka na hakuna atakaeonewa

Aonewe mara ngapi?
 
Hakika uislam ameuleta kwetu mwenyezimungu mwenyewe.hauwezi kutokomezwa na mt yeyote mpaka kije kiama.frauni wewe

uislamu dini pekee ambayo ilienea na kuenea na inayoenea sehemu kubwa ya dunia bila ya kufunguliwa kituo cha polisi na kuwalazimu watu waingie,wala kulazimishwa uache dini yako ndo upate huduma mbalimbali kama elimu,hospitali na misaada mingine kama wafanyavyo wakristo kuwaambia km wataka kufanya kazi hospital za misheni lazima ubadiri dini kwanza,ni dini pekee ambayo haijaenezwa kwa dhurma na hata wanaosema eti umeenezwa kwa upanga ni kwakuwa hawaijui historia sahihi au wanaijua bali wanaibadilisha ili waendelee kuwapoteza watu kuelekea motoni ila kwahakika hamuwezi kuizima nuru ya mwenyezi mungu kwa mikono kwani mungu ndo mwenye nuru japo mnalichukia makafiri jambo.
 

mnakielewa vizuri mnachokijadili?
 
Mfumo wa kuwadhulumu Waislaam haujaanza leo lakini mwanzo wa mwisho unaonekana.
 
Uisilam ni janga la taifa na lazima upigwe vita kali.
 
Mfumo wa kuwadhulumu Waislaam haujaanza leo lakini mwanzo wa mwisho unaonekana.

What a surprise? Hata Said Mwema anadhulumu waislam? Very sad indeed!
 
Ukiwa na ugonjwa wa zinaa, hakyanani unaweza kuuficha na kuwahadaa watu kuwa kuchechemea kwako na kutembea umepanua miguu ni sababu ya mazoezi makali. Lkn ukiwa na ujinga, namna pekee ya kuuficha ni kukaa kimya.

Hebu wewe mwenyewe angalia madhara ya kuongozwa na mtu mjinga. Hizo RED zinaonesha kabisa unajua kuwa kiwanja ni mali ya nani, lkn cha kushangaza, wewe huyo huyo unarudi kusema tena KIWANJA NI MALI YA WAISLAM! Kweli umeshindwa kuficha upumbavu wako?
 
huo ukristo umeletea maendeleo yapu Tanzania?

Huwezi kumuona wa maana mtu aliyekisaidia kijiji nyama ya kondoo ikiwa kabila lenu halili nyama ya kondoo. Urkisto umeleta ELIMU ambayo wewe ni adui yako, utaweza kweli kuona umuhimu?
 
huo ukristo umeletea maendeleo yapu Tanzania?
Kama hujasoma shule za kata, naamini hata shule uliyosoma itakuwa ya kanisa. Mf. Ilboru, Ihungo, Rugambwa, Msalato etc. Zote Nyerere alitaifisha ili watu wa madrassa Baitul nao wapate ilmu dunia.
 
Kuna mambo mengi sana yananisumbua kuhusu Waislaam ila jambo kubwa ni kuwa, kwanini waislaam wanawaza kwa pamoja? Wakiwaza MABAYA wanawaza kwa pamoja. Wakiwaza MAZURI pia wanawaza kwa pamoja. Leo hii Waislaam wengi wanawachukia Wakristo bila hata sababu za msingi. Inajulikana wazi kabisa kuwa NGUZO KUU YA UKRISTO NI ELIMU. Hivyo ni wazi kuwa mtu yeyote ambaye hatilii maanani elimu ataangamia.

Mi nawaomba ndugu zetu waislaam waache majungu na chuki za kike zao kuoneana WIVU. Suluhu ya matatizo yao ni ELIMU TU. Acheni mambo ya kuunda vikundi vya UAMSHO na kuhujumu mali za watu, hamtafanikiwa. Ukivunja kanisa letu kuna mambo mawili utegemee kuyapata. Kwanza utakamatwa na kufungwa na pili huko mbinguni utaenda MOTONI! Acheni kulalamika, someni sana, fanyeni kazi kwa bidii mtafanikiwa.

 

Nyakati zote mngehamasishana kufanya dua wala tusingefika hapa, nashukuru sasa mmeanza kupata ufahamu na kujua suluhu ya tatizo hupatikana kwenye dua na sio kuchoma makanisa.
 
Uislam haukubaliki. Tushirikiane kuutokomeza.

UTAKUA UNAJUDANGANYA WENZAKO WANACHANGANYIKIWA KUJUA WHY?

HAPO KAKA UKO GIZANI MAANA HUJUI HATA TAKWIMU WALA CURRENT ISSUES.
KWA TAARIFA ISLAM IS FASTEST GROWING RELIGION IN THE WORLD

Claims to be the fastest-growing religion - Wikipedia, the free encyclopedia

According to the Guinness Book of World Records, Islam is the world's fastest-growing religion by number of conversions each year: "Although the religion began in Arabia, by 2002 80% of all believers in Islam lived outside the Arab world. In the period 1990-2000, approximately 12.5 million more people converted to Islam than to Christianity".[SUP][5][/SUP] Part of the books quote can be seen online from this extract from Google Books.[SUP][5][/SUP] This was again shown in the 2005, 50th anniversary edition of Guinness Book of World Records, although the number of conversions was not mentioned this time.[SUP][6][/SUP]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…