Alafu utaniudhi sasa hv, kuuliza vitu huku una majibu ya wazi na kila mtu anajua..
1: Wilaya za Moro karibu zote rushwa ilitawala, wizi wa hela
2: Usimamizi mbovu wa viongozi wa chini yake, DC na Mkurugenzi wanagombana, miradi haifanyiki sbb kila mmoja na contractor wake mkononi, RC anang'aa macho tu na pombe full time
3: Kuna mapolisi walichukua rushwa sana kwa kampuni ya Tumbuka pale Moro na kuwanyanyasa wakuu wa kampuni ya tumbaku na Mkuu wa mkoa yuko tu..
4: Moto umechoma watu wengi Moro mwezi uliopita, sbb ya uzembe wa maaskari, maskari wako chini ya RC kama Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama, ingefaa polisi wawe aggressive baada ya ajali watimue watu, labda wangekufa wachache sana..
All in all, Kebwe pombe na uzembe ndio vimemponza, very lazy.