Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,768
Yap! Awamu hii hata mhuni anaweza kupata teuzi kubwa tu, inategemeana umeshibana vipi na yule anayeteua. DAB Aanao ushahidi!
Kebwe mkoa ulimshinda mapema muda wote kalewa wamemvumilia sn mbona naona dogo wa Hai Dc ole sebaya ananukia teuzi