Kuna jamaa yangu/rafiki yangu kipenzi ana hali ngumu nyumbani kwake ikanibidi niamue kuingia JF kusaka msaada wa ki-mawazo,ijumaa jioni jamaa alipotoka kazini alipitia sehemu akapata Bia zake tatu hivyo mpaka anainingia nyumbani iilikuwa kwenye saa mbili na nusu,alipoingia akasalimiana na mkewe akaenda kuoga then akarudi sitting room akimsubiri mkewe amuite kwenye meza tayari kwa chakula,ghafla ikawa kinyume aliyekuja kumuita ni House girl wake, baada ya kumuambia chakula tayari wakati akiondoka yule jamaa akamwambia "siku hizi unanenepa" yule H/girl hakujibu kitu,kumbe mama watoto kamsikia,yaani ugomvi uliozuka hapo mpaka leo hii hawaongei,sasa waungwana wa JF huyu jamaa kakosea wapi?
kuna jamaa yangu/rafiki yangu kipenzi ana hali ngumu nyumbani kwake ikanibidi niamue kuingia jf kusaka msaada wa ki-mawazo,ijumaa jioni jamaa alipotoka kazini alipitia sehemu akapata bia zake tatu hivyo mpaka anainingia nyumbani iilikuwa kwenye saa mbili na nusu,alipoingia akasalimiana na mkewe akaenda kuoga then akarudi sitting room akimsubiri mkewe amuite kwenye meza tayari kwa chakula,ghafla ikawa kinyume aliyekuja kumuita ni house girl wake, baada ya kumuambia chakula tayari wakati akiondoka yule jamaa akamwambia "siku hizi unanenepa" yule h/girl hakujibu kitu,kumbe mama watoto kamsikia,yaani ugomvi uliozuka hapo mpaka leo hii hawaongei,sasa waungwana wa jf huyu jamaa kakosea wapi?
Mwingine huyu!!!hapa tatizo ni kubwa sana......
kama ni mimi mkewe....nahama nyumbani.....
mwanaume maalun kweli huyo.......
ial kwa nini asimsifie mkewe?
si kila mwanamume anapenda mwanamke mwembamba japo simjui huyu mwanamume lakini tayari ameonekana kuanza kumtamani hg wake.kunenepa sio sifa. wanawake wengi ukiwaambia wamenenepa wanakasirika...sasa huyo mama sijui kwa nini amemaindi labda kama anajua mumewe anapenda wanawake wanene
Niko na wewe hapo, mwnaume lazima awe anamipaka kwenye nyumba yake.hapa tatizo ni kubwa sana......
kama ni mimi mkewe....nahama nyumbani.....
mwanaume maalun kweli huyo.......
Tena inaonyesha unamzingatia kila hatua!kwa mume wa mtu kumsifia housgirl kuhusu maungo yake ni utovu wa nidhamu na ni kiashirio kikubwa kuwa ameanza kumtamani.
hapa tatizo ni kubwa sana......
kama ni mimi mkewe....nahama nyumbani.....
mwanaume maalun kweli huyo.......