Kosa kubwa sana CHADEMA wamefanya kusema Serikali ndiyo iliyomshambulia Tundu Lissu bila ushahidi wowote!

serikar
Uthibitisho ndiyo huo wa hayo maneno unataka yapo mengine...Viongozi wa Chadema anasema Serikali ndiyo wahusika wa shambulio la Tundu Lissu unataka nini zaidi? Wekeni ushahidi wa Serikali kuhusika ndiyo tunataka.
wewe! acha kupiga kelele! kila mtu anajua wazi serikali ndio imehusika wewe pekee unajifanya huoni!
 
YANI LICHA YA NISAN PATROL KUBAINIKA MAPEMA LAKINI LILIKATIZA DOM, MORO, PWANI, DAR...

JIONGEZE.

HV WEWE NA GARI LAKO UNADHANI UNAWEZA KURUHUSIWA KUINGIA GETI LA MAKAZ YA WABUNGE?

TUMIA AKILI USITUMIE MATAKO.
Kila kiungo kina kazi yake.Hayo maneno unamwambia nani?
 
Strategy ya CDM ni nzuri sana. Wamepeleka kitu kinaitwa burden of proof serikalini. Kama haihusiki itawatafuta hao wasiojulikana.
 
Kama Kuna kosa kubwa Chama cha Chadema wamefanya mwaka huu ni ile hali ya kuiaminisha jamii ya kitanzania na kimataifa kuwa shambulio la Tundu Lissu limefanywa na vikosi vya ulinzi na usalama vya Serikali.

Huo mtazamo wa Viongozi wa Chadema na wafuasi wao kuhusu Serikali kuhusu na shambulio kwa Tundu Lissu utawasumbua sana ktk mahusiano kisiasa.

Na jinsi wanapanga kupeleka malalamiko yao UN na Jumuia ya kimataifa ni kudhihirisha kuwa kweli Serikali imehusika na hawana Imani nayo.

Nadhani huu mtazamo wa Viongozi wa aina hii kuwa kila Kitu unasingizia Serikali si Mzuri sana.

Sidhani kama Chadema wanaweza kuweka ushahidi wowote mezani usio na shaka kuwa ni kweli Serikali imehusika.

Kwasababu RPC Muroto wa Dodoma alitoa wito mwenye ushahidi wowote apelekwe Polisi labda Viongozi hao watakuwa wamepeleka.

Tumuombee Tundu Lissu apone haraka na uchunguzi utoe taarifa mapema kuhusu shambulio hilo.
Mtafuteni Kisabox wa Nape anatamba mitaani kuhusu Dodoma na Kigoma
 
uchunguzi unafanywa na nani mpaka sasa hivi magari yote mawili yaliyotajwa plate number hayajakamatwa, unafikiri hayo magari yangetajwa na bashite mpaka sasa hivi yangekuwa hayajakamatwa?
 
Lini CDM imekuwa Na mahusiano mema Na serikali kuanzia mabomu ya Soweto hadi vifo vya kushambuliwa

Waruhusu wachunguzi Wa kimataifa waje kufanya uchunguzi Wa vifo vyote ili kuondoa mashaka,kukataa maana yake ni KUJILINDA dhidi ya aibu.

Hivi ni Nani wamiliki Wa SMG? Na kwanini tukio litokee eneo LA viongozi Na sio eneo LA wazi Kama ni uhalifu Wa kijambazi? Na kwanini walifanikiwa kutoka?Nani anayeweza kupita eneo LA viongozi bila sababu ya msingi?WASIWASI NDO AKILI.

Trends Na matukio ya nyuma,kauli Na chuki za wazi ndio yanafanya suspect number moja awe huyo unayedhani.

Kuvamiwa Na kuuwawa kwa polisi Na mbwa wao miaka kadhaa nyuma tena tukio LA usiku hakuna MTU aliyeona,wahusika wote waliuliwa tena wakiwa Dodoma,Morogoro,Pwani Na Dar es Salaam.Je polisi walipata wapi taarifa za wahusika.Mbona hili kigugumizi? FBI wanaweza kutusaidia iwapo Muroto Hana taarifa.

Hapo umenena hata Kama ulikuwa unaombea iwe vinginevyo

Unaangalia jambo kwa upande mmoja. Wakija hao makachero "toka nje" hawatakuja na kuchunguza lililotokea ulilowaitia! Watapenyezewa na Majasusi wengine wa nchi zingine wasioipenda Tanzania dondoo zingine nyeti za kuchunguza. Vyombo vyeti vyenyewe vichunguze kama alivyosema Mhe. Jaji Mkuu.
 
Ushahidi gani unahitaji zaidi ya huu!? Ni kipengele kipi cha katiba au sheria za nchi kinampa huyu na ndugai kuwashughulikia wapinzani ndani na nje ya Bunge kwa kufanya kazi zao za kikatiba!? Mmiliki wa gari ni nani!? Serikali dhalimu kimya!!! Vipi kuhusu walinzi wa getini!? Serikali dhalimu kimya!!! Tia akili kichwani acha kukurupuka na kuropoka pumba

Kama Kuna kosa kubwa Chama cha Chadema wamefanya mwaka huu ni ile hali ya kuiaminisha jamii ya kitanzania na kimataifa kuwa shambulio la Tundu Lissu limefanywa na vikosi vya ulinzi na usalama vya Serikali.

Huo mtazamo wa Viongozi wa Chadema na wafuasi wao kuhusu Serikali kuhusu na shambulio kwa Tundu Lissu utawasumbua sana ktk mahusiano kisiasa.

Na jinsi wanapanga kupeleka malalamiko yao UN na Jumuia ya kimataifa ni kudhihirisha kuwa kweli Serikali imehusika na hawana Imani nayo.

Nadhani huu mtazamo wa Viongozi wa aina hii kuwa kila Kitu unasingizia Serikali si Mzuri sana.

Sidhani kama Chadema wanaweza kuweka ushahidi wowote mezani usio na shaka kuwa ni kweli Serikali imehusika.

Kwasababu RPC Muroto wa Dodoma alitoa wito mwenye ushahidi wowote apelekwe Polisi labda Viongozi hao watakuwa wamepeleka.

Tumuombee Tundu Lissu apone haraka na uchunguzi utoe taarifa mapema kuhusu shambulio hilo.
 
Tuache siasa kwa wanasiasa, lakini kiutendaji makosa yote yanapotokea watu hukamatwa kwa mahojiano. Tena hutangazwa kwenye vyombo vya habari sijajua kwenye hili kama juhudi zinafanyika the same
 
Chacha wangwe afa kwa ajali akitokea Dodoma alikuwa akiwahi dar kwa ajili maandalizi ya mkutano mkuu wa uchaguzi mkuu wa chama,zitto anusulika kufa baada ya kupewa sumu na watu wasiojulikana ,alikuwa akihuzulia mkutano mkuu maalum Wa chama bagamoyo,watu wasiojulikana wamemshabulia kwa Risasi mwanasheria mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema mh tundu lissu akiwa kwenye gari karibu na nyumbani kwake njini Dodoma !!!!!!!?
 
So long as, in almost two weeks since an attempt on Tundu Lissu's life, no any arrest has been made, the rationale people have every reason to hold the government responsible.

We believe, if it were an attempt on the life of any senior government official done maybe by the armed bandits, police would have already made several arrests.

But, alas, now that the victim is an opposition politician and an ardent critic of the government, nothing significant seems to be going on in terms of positive
investigation to unravel the mystery.

We afraid at the end of the day, some defenceless scapegoats will be arrested and subsequently arraigned before the court purportedly to calm the turbulent seas. Let us wait time will prove me right.
 
Back
Top Bottom