Kosa kubwa sana CHADEMA wamefanya kusema Serikali ndiyo iliyomshambulia Tundu Lissu bila ushahidi wowote!

Aliyeng'oa cctv naye wameshindwa kumkamata, je aliyetoa order wale Askari wa lindo waondoke wasiwepo siku na muda huo naye hajulikani maana walipewa mpaka na muda wa kutokuwepo, maana walijua muda wa kufanya tukio.
maneno ya kwenye kahawa hayo mliyoyatengeneza kuwaaminishi wananchi.
 
Achana na hayo maswala ya ushahidi na madudu mengine mengine....haya...tuambie wewe unadhani ni mtu gani mwenye uadui mkubwa kias hcho na bwana lisu kiasi cha kummiminia njugu nyingi kiasi kile!!!!
 
Achana na hayo maswala ya ushahidi na madudu mengine mengine....haya...tuambie wewe unadhani ni mtu gani mwenye uadui mkubwa kias hcho na bwana lisu kiasi cha kummiminia njugu nyingi kiasi kile!!!!
hata wewe unaweza kuwa....
 
Back
Top Bottom